Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Status
Not open for further replies.
Naonaga nyuzi zinazohusu hii Forex huwa zinamtifuano kama zile za ccm na cdm.

Naomba namimi mnifundishe hii forex ni nn jamani
Duhh, jinsi watu wanavyoparurana kwa maneno makali utafikiri siku wakionana live watazichapa mpaka kuche, kumbe ni marafiki wa karibuuu, ila wanatofautiana kimtazamo!
 
Huyo tapeli tu Mkuu anaelekea uzee hana hata kibanda kila siku kumchukia Ontario Mwenye umri wa miaka 24

hata 30 sijavuka ila naishi same life na wenye 40s tena waliofanikiwa... na nikifika 40 kwa hii spidi ya kuchukia vya bure.. napenda kusaka kwa jasho nahisi nitaajiri watanzania kibao.. kama under 30 nimetoa ajira..
 
hata 30 sijavuka ila naishi same life na wenye 40s tena waliofanikiwa... na nikifika 40 kwa hii spidi ya kuchukia vya bure.. napenda kusaka kwa jasho nahisi nitaajiri watanzania kibao.. kama under 30 nimetoa ajira..

Huna maisha wewe umekalia umbea usiku wote huu eti nina maisha kumbe unalala kwa baba ako acha upumbavu
 

Nan alikuambia umri ndio maisha wakina Rashford kule Man utd wasemeje sasa kama wewe na kijibanda cha kuprint Tshet unajiona umetoka hilo banda umiza 2020 kila mtu atakua anatizama mpira kwenye simu ngombe wewe unaringia ujinga ujinga hilo banda la kuprint tsher 2018 waty wataprint kwa 3d tuone kama ujarud kwenu kulima mchicha mchafu ule,unaringia vijihela hata kwa siku huingizi $700 kelele kibao et chini ya miaka 30 wewe ukiwa hata na 25 ni kizee haswa kwenye dunia ya tech Kojoa ulale we kichwa kama Le mutuz.
 
sema wewe una nini ? kama unajiamini taja jina lako hata pm tukugoogle... mpaka leo unaishi nyumba za kupanga unapanda madaladala .. huna hata genge ... unadanga tu unajisema una akili.. bora hata naeprint tshirt ila na drive, najenga , nasomesha na daily nakula bia za jasho langu..

mnategemea forex ndio itawakomboa kumbwe mnamchangia mjanja mtaji anaenda kuwekeza kwenye biashara za jasho

kama unajiamini taja jina lako au hata namba ya simu tu tukutrace tuone hata ka passo kama unamiliki... maana bajeti ya mashine za kuprint tshirt tu ambazo umezidharau najua huiwezi hata kwa kunusa

sema kama hata genge unamiliki bwege wewe,...

weka biashara yako na wewe hata moja

kama unajiamini tuonane.. kama hujajitongozesha na kulazimisha kunipa uchi wako mchafu


 

Unaona ulivo mshamba sasa pesa ya mtu hua huwez ku google kwa jina wewe mswahili,jaribu kutembea dunian akili itakukaa sawa kichwa yako still iko static hujui kitu et kudrive unaendesha used za Japan hizi taka unasema unadrive unasomesga shule zenyewe watoto wanaenda kukariri tebo ya 9 shenz kabisa unajenga banda la mbwa useme nyumba unazijua nyumba unaskia muone.. wewe una ela ya kubadilisha matembele basi halafu unajiona una ela kwa taarifa yako leo tt Forex kama forex achana na mambo mengine nimetengeneza $3000 from nowhere bado kazi zangu zingine ambazo nikikutajia utajionea huruma sikai kwenye rent house shauri ako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ontario atawafanya mjikune sana vipele vya matako mpaka basi
 
mimi nipo ofisini sasa hivi nafanya kazi zangu...

msukule wewe eti usd 3000.. weka jina lako tuku trace au hata link ya unachomiliki tukutrace...

hiyo usd 3000 ambayo wewe umeitaja kwa ndoto mimi nimetumia kununua vifaa vya studio juzi tu...

najua wewe hata usd 3000 huijui zaidi ya kuitamka.. na ukiishika hadi ukope kwa mwajiri.. wahuni tunaitengeneza hiyo kwa jasho hiyo mitaani..

haya link ya biashara ya pili hiyo

Photo_ studio_mabibo_hostel (@photo_studio_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos

mpaka sasa hivi naongoza 2-0 nimeweka link ya biashara 2 na bado naendelea kuweka,...

wewe weka hata moja basi kama kweli unajua kusaka mahela... usijitongozeshe tu

hela za jasho ziko mitaani... acheni uvivu.. usd 3000 ni hela ya camera canon 5d mark 4 tu bila lenzi.. ila wewe unaiona nyingi eti

si ajabu hata tshirts unazovaa huko ulipoajiriwa zimetengenezwa ofisini kwangu.. wakati wewe unaomba kazi upate mshahara wahuni wa kitaa wazee wa kula kwa jasho tunaomba tenda ....

mpaka mda huu tuko ofisini hatujarudi hata nyumbani.. mzembe unategemea ku download hela...

biashara ndogo tu zimekuchachafya je ningeweka za clearing si ungeloa chini huko

acheni uzembe hakuna hela nyepesi duniani... hakuna shortcut kwenye hela.. na mkipenda shortcut mtaliwa tigo hizo


 

Unatangaza bizness ako kijanja kwi kwi kwi kwi mbwembwe nyiiiingi unasema una kampuni ya clearing ongea vizur na sisi tukupe kazi za ku clear mizigo we kijana nina mizigo mingi sana ya Kwenda Kamembe,Kigali pia kuna kazi za kupeleka mizigo South of DRC hasa kwenye migodi ya Kakanda,Tenke na Dilolo bila kusahau mizigo ya kwenda Sakania na Mwinilunga northwest and Copperbelt In Zambia we piga piga kelele weeee ujione mjaaanja shauri ako hapa ni Jamii forums kuna maisha nje ya Hapa jiongeleshe vzuri upate kazi za clearing hizo ukuze kampuni zako.nimemaliza baba ake Kazi njema.
 
nimekwmbia taja biashara yako hata moja.. ha ha ha ha bwege wewe mtegemea ajira halafu kampuni za kichovu.. unategemea forex ikukomboe..

wateja mabwege nawatukana kwanza ndio nawahudumia

uliza tshirt za jamiiforums zilifanyiwa embroidery wapi?

halafu ka google bei za mashine ya embroidery

acheni kupenda shortcut.. hakuna hela rahisi... mtoke jasho mpate hela halali ya jasho.. mwanaume ndio natoka job nataka niende kwangu now

 
Mkuu samahani sina nia kukudhalilisha lakini naomba kuuliza swali.

Kwa uandishi wako kama huu nawewe pia umelielewa somo la Forex trading vizuri na unapiga pesa za kutosha?

Aisee kumbe hii biashara ni rahisi mno kupiga pesa!!
 

Sikulaumu kwakweli ila tutamlaumu mama ako kupewa mimba kinguvu kule guest na Mafundi ujenzi na ukalelewa na bibi yako ndio maana una kichwa ka sufuria ya msibani ubongo kama kibamia cha lemutuz ndio mana una akili za hiv pole sana endelea kuprint tishet baba angu wakat wengine wanafanya bizness kimataifa we endelea kufanya bizness mabibo pale kwa wanachuo ambao hawazid elf 5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ha ha ha naona matusi umeyahamishia kwa wazazi baada ya kuona huna unachomiliki na umri umeenda...

siwezi kumtukana mama yako na wala baba yako.. sababu nimelelewa vizuri na nimefundishwa kuheshimu wazazi awe wangu au wa mwezangu..


mimi na deal na wewe tu.. unamiliki nini? wanao watarithi nini? nina uhakika umri umenizidi ila kimaisha nimekutoa knck out..

sijazidi hata 30 ila nahudumia kampuni kama cool blue, millcom, zantel, udom etc.. kwa mimi hiyo tu ni zaidi ya blessing...

mama yangu uliyemtukana nae anafurahi anaona kweli kijana wake jasho langu linanibariki... na pasaka anaenda jerusalem kwa jasho la kijana wake... wewe unaetukana mama za wenzako jiulize mama yako ambaye wenzako wanamuheshimu.. umemfanyia jambo gani.. na ana kipi cha kujivunia kutoka kwako?

huna hata genge maskini ya Mungu .. nyinyi ndio mizigo kwenye taifa linalohamasisha viwanda

 

Namiliki Smartphone,sijaajiliwa na mtu zaidi ya kusimamia kibanda cha kuchoma chapati mwananyamala kwa mama zacharia,Sawa asante kwa taarifa kua unaenda Jerusalem kwa jasho lako wengine tumezunguka hii dunia kwa raha zetu pole sana lakin kwa kushika vijisent ukubwan halaf unajenga unadrivee una Mijikampuni una kgari chako sijui Mercedes benz S class au G class unasomesha we ni noma sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushamba mzigo sana una passport za nchi gani na nchi gani me nina ya Rwanda(Home) ya Tz [emoji3][emoji3][emoji3] duniani hapa sijafika antarctica
 
najua umeona aibu umemtukana mama yangu halafu mimi mama yako sijamtukana.. na aibu ya pili nimekuringishia biashara ndogo ndogo tu chache,,,, wewe hata genge huna nafsi imekusuta...

hakuna shortcut kwenye maisha.. hata biblia imeandika asiyefanya kazi na asile..

swali la kizushi umepata faida gani kumtukana mama yangu ?

wewe ni mwanamke halafu unamtukana mama mzazi ambaye ni mwanamke mwenzako.. na unapata amani ya moyo kabisa? kweli hata hizo baraka unazipata kweli...

 
Don’t work hard work smart.Dunia imebadilika sana huhitaji kutoka jasho ndo upate pesa ila unahitaji akili na informations
Vikauli vya kukaririshana kama hivi ndio vinatufanya waafrika hasa wabongo tuwe masikini.

Work hard + Work smart = Success

Ungejua wazungu na watu wa Asia wanavyopiga kazi kisha wanafanikiwa ungeacha kupotosha watu.
 
Kwaiyo mwanaume wewe unatembeza matako yako kutafuta hera sawa yatembeze itapata hiyo pesa nyingi tu
 

We wa kwanza kua na mama we mbweha .?????? We na vibiashara vyako vya kubadilisha matembele unapiga keleeleeeeeeeeee ka hzo bizness zinakuingizia hata mil 5 per month me siwez kutaja wanaonijua wanajua who am I pole sana mtoto wa Mama ulielelewa na bibi na madhara yake haya ukilelewa na bibi unakua ni attention seeker [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] naona umetumia jukwaa hili kutangaza bizness zako ONTARIO ATAENDELEA KUWAWESESHA NA LEO KWA FOREX NADHANI KAMA AJAPIGA $40,000 bas 25,000 mana leo Market ilikua upande wetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Don’t work hard work smart.Dunia imebadilika sana huhitaji kutoka jasho ndo upate pesa ila unahitaji akili na informations

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyo jamaa anatumia nguv nyingi sana kusaka pesa mara aprint tishet mara sijui afanye hil na lile hizo kaz muda wote lazima uwe mtu wa kujikweza kwa wateja bas anajisifiaaaaaaaa ka n bilionea
 
jifunze kujenga hoja na kujibu ulichoulizwa.. soma vizui nilichoandika halafu jibu...

najua umeona aibu umemtukana mama yangu halafu mimi mama yako sijamtukana.. na aibu ya pili nimekuringishia biashara ndogo ndogo tu chache,,,, wewe hata genge huna nafsi imekusuta...

hakuna shortcut kwenye maisha.. hata biblia imeandika asiyefanya kazi na asile..

swali la kizushi umepata faida gani kumtukana mama yangu ?

wewe ni mwanamke halafu unamtukana mama mzazi ambaye ni mwanamke mwenzako.. na unapata amani ya moyo kabisa? kweli hata hizo baraka unazipata kweli?...

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…