Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Status
Not open for further replies.
Lakini kasema haoi makahaba wa kinyarwanda

Ndoa Bongo utaweweseka pole kwa kuunguza Akaunti [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usijichekeshe mkuu
 
Ungeweza kusema wewe unatoa mafunzo bure bila kumpakaza tope mwingine ingependeza zaidi.
 
katika maisha yangu hata ubalozi wa marekani nimeshawai fanya kazi ambako kwako wewe hata kuingia ndani ya geti tu ni ndoto kubwa .. naanzia wapi kuajiriwa kigoma kambini... ha ha ha mtakufa na ujinga wenu mabwege nyinyi... mchangieni bwana wenu ada za forex akalimie.. hivi unamiliki biashara 5 dar ambayo inakulazimu daily uikague halafu unafanya kazi kigoma kambini inawezekana kweli?

Mwanaume mzima eti umekalisha makalio yako ati unasema unadownload hela hiyo akili matope? Forex ni wizi kama wizi mwingine tu.

wanaume wakutafutie hela kwa jasho wewe uzidownload tu .. haya mambo ya kupenda vya bure ndio mnakuwa mashoga nyinyi
We punga usidhani hatukujui ,umewahi kuishi makere sasa kama huamini tutatupia picha zako hapa ukiwa porini huko...

Halafu usinodanganye wewe mla vumbi huna hela mpuuzi wewe
 
weka picha zangu za huko makere.. nikupe laki 5 ya jasho.. uache tegemea hela za bure kama shoga...

We punga usidhani hatukujui ,umewahi kuishi makere sasa kama huamini tutatupia picha zako hapa ukiwa porini huko...

Halafu usinodanganye wewe mla vumbi huna hela mpuuzi wewe
 
katika maisha yangu hata ubalozi wa marekani nimeshawai fanya kazi ambako kwako wewe hata kuingia ndani ya geti tu ni ndoto kubwa .. naanzia wapi kuajiriwa kigoma kambini... ha ha ha mtakufa na ujinga wenu mabwege nyinyi... mchangieni bwana wenu ada za forex akalimie.. hivi unamiliki biashara 5 dar ambayo inakulazimu daily uikague halafu unafanya kazi kigoma kambini inawezekana kweli?

Mwanaume mzima eti umekalisha makalio yako ati unasema unadownload hela hiyo akili matope? Forex ni wizi kama wizi mwingine tu.

wanaume wakutafutie hela kwa jasho wewe uzidownload tu .. haya mambo ya kupenda vya bure ndio mnakuwa mashoga nyinyi

Unaleta maisha ya historia hapa watu tumefanya kaz na tunafanya kaz na hao american masuala ya security wewe unaleta historia acha wivu ontario anakuwewesesha sana utakonda mwaka huu et ubalozi wa marekani nyie ndio umri umeenda mnabak kuhadisia stor za kufanya kaz sehem flan kisa mvizie gahawa na mizinga kwa vijana Sheeeeenzi.
 
umri wangu ni haujazidi miaka 30... ila vitu nilivyofanya ni wachache sana waliovifanya wa umri wangu.. sijawai kuogopa maisha.. kama unabisha nakupa link hiyo kuna biashara zangu mojawapo Tshirt Garage Mabibo Hostel (@tshirt_garage_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos na namba za simu angalia hizo namba ingiza tigo pesa uone jina langu... kisha ni trace. halafu uje ujifananishe wakati una miaka 30 kama umewai kuwa na maisha kama yangu

nenda ka trace photo studio mabibo hostel google... nenda ka trace tshirt garage mabibo hostel, nenda ka trace mamba studios.. nenda ka trace kibanda umiza mabibo hostel.. nenda ka trace sesten logistics... utapata details unaongea na nani..

kisha na wewe uweke link ya jina lako tu au unavyomiliki au hata mwanahisa tukutrace.. ikiwezekana hata tuonane.. bwege wewe mtegemea vya bure... ontario anawawewesesha msiopenda kutoka jasho.. wajinga nyinyi

mtu huna hata genge unategemea hela u download mtandaoni ambazo wanaume wanazitafuta kwa jasho.. mwisho wa siku mnakuwa mashoga nyinyi kwa kupenda vya bure

nina uhakika umri tu ndicho umenizidi bwege wewe kama unabisha tuonane kama hujashoboka

kama unajiamini hata humu humu jamvini tutaje real names na tuweke namba za simu

watu watutembelee waone tunayoyafanya tujue nani mtafutaji..

desparate people ndio mnamuona ontario ni mkombozi wenu kumbe anawapiga tu.

kama unataka kujikomboa tambua hakuna easy money duniani..

pamoja na uzee wako wewe najua hata bei ya tofali hujui? hata toyota used tu sizani kama umewahi agiza hata japan;; hata genge nahisi huna.. ndio unategemea forex ikutendee miujiza upate hata bajaj.. mwisho wa siku unapigwaa

focus on real business zinazo solve real problems

Back
Top Bottom