BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Acha matusi hayasaidii jenga hojaBongo bongolala ***** zenu endeleeni tu na majungu ndo mana mkiamka asubuhi mnashika mbupu badala ya kukuna kichwa na kuwaza ya kuwaondoa kwenye poverty
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha matusi hayasaidii jenga hojaBongo bongolala ***** zenu endeleeni tu na majungu ndo mana mkiamka asubuhi mnashika mbupu badala ya kukuna kichwa na kuwaza ya kuwaondoa kwenye poverty
Lakini kasema haoi makahaba wa kinyarwanda
Usijichekeshe mkuuNdoa Bongo utaweweseka pole kwa kuunguza Akaunti [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijichekeshe mkuu
Itani ndyo nini?Tushaanza itana “mkuu” sawa Mkuuuu mkubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itani ndyo nini?
Ontanario anakupendaSawa mkuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] laki mbili na tisini ndo unapiga hela kama uchafu?View attachment 671625
Endeleeni kupiga kelele watu tunapiga pesaa kama uchafuu, usd 125 (290,000) na kila siku ni mwendo huo huo nimekaa tu, angalia na muda nilioingiza
[emoji15] [emoji15] [emoji15] laki mbili na tisini ndo unapiga hela kama uchafu?
kila siku unaingiza laki mbili na tisini kupitia forex?
Sawa mkuu.tafuta masikini wanao omba omba.uwafundishe forexEehh hiyo hiyo napiga, kama jana nimepiga 650,000, leo tu mpka sasa nina 350,000
Kwangu ni kama uchafu
Ha ha ha ha haSawa mkuu.tafuta masikini wanao omba omba.uwafundishe forex
Masikini wapungue.
kizuri kula na wenzio.
Sawa mkuu.tafuta masikini wanao omba omba.uwafundishe forex
Masikini wapungue.
kizuri kula na wenzio.
Toka hapa.Ontario mwenyewe master wako hajafanya bure.Napenda nianze na wewe maskini wa humu
We punga usidhani hatukujui ,umewahi kuishi makere sasa kama huamini tutatupia picha zako hapa ukiwa porini huko...katika maisha yangu hata ubalozi wa marekani nimeshawai fanya kazi ambako kwako wewe hata kuingia ndani ya geti tu ni ndoto kubwa .. naanzia wapi kuajiriwa kigoma kambini... ha ha ha mtakufa na ujinga wenu mabwege nyinyi... mchangieni bwana wenu ada za forex akalimie.. hivi unamiliki biashara 5 dar ambayo inakulazimu daily uikague halafu unafanya kazi kigoma kambini inawezekana kweli?
Mwanaume mzima eti umekalisha makalio yako ati unasema unadownload hela hiyo akili matope? Forex ni wizi kama wizi mwingine tu.
wanaume wakutafutie hela kwa jasho wewe uzidownload tu .. haya mambo ya kupenda vya bure ndio mnakuwa mashoga nyinyi
Huyo tapeli tu Mkuu anaelekea uzee hana hata kibanda kila siku kumchukia Ontario Mwenye umri wa miaka 24Nipatie ajira mkuu
Huyo tapeli tu Mkuu anaelekea uzee hana hata kibanda kila siku kumchukia Ontario Mwenye umri wa miaka 24
We punga usidhani hatukujui ,umewahi kuishi makere sasa kama huamini tutatupia picha zako hapa ukiwa porini huko...
Halafu usinodanganye wewe mla vumbi huna hela mpuuzi wewe
katika maisha yangu hata ubalozi wa marekani nimeshawai fanya kazi ambako kwako wewe hata kuingia ndani ya geti tu ni ndoto kubwa .. naanzia wapi kuajiriwa kigoma kambini... ha ha ha mtakufa na ujinga wenu mabwege nyinyi... mchangieni bwana wenu ada za forex akalimie.. hivi unamiliki biashara 5 dar ambayo inakulazimu daily uikague halafu unafanya kazi kigoma kambini inawezekana kweli?
Mwanaume mzima eti umekalisha makalio yako ati unasema unadownload hela hiyo akili matope? Forex ni wizi kama wizi mwingine tu.
wanaume wakutafutie hela kwa jasho wewe uzidownload tu .. haya mambo ya kupenda vya bure ndio mnakuwa mashoga nyinyi
Unaleta maisha ya historia hapa watu tumefanya kaz na tunafanya kaz na hao american masuala ya security wewe unaleta historia acha wivu ontario anakuwewesesha sana utakonda mwaka huu et ubalozi wa marekani nyie ndio umri umeenda mnabak kuhadisia stor za kufanya kaz sehem flan kisa mvizie gahawa na mizinga kwa vijana Sheeeeenzi.