Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Status
Not open for further replies.
Mwenye lile tangazo la training ya Forex naomba anipe hapa nimepoteza ile namba ya ofisini
 
Kama kweli unaijua Forex huwezi kujiuliza hilo swali, ni aibu kwa anaeijua Forex kujiuliza hilo swali
 
Halafu hii inayopinga Forex ukute haina kazi mjini , imemaliza vyuo miaka nenda rudi wengine wanaishi kwao au kwa mashemeji zao kabisa ....
 
Wewe masikini wa akili na vitu hujielewi, ungekuwa na hela usingeajiliwa kigoma kambini huko .

Wewe ni masikini mpaka sasa huna ulijualo zaidi ya chuki na roho mbaya, Forex ni zaidi ya Ontario ila kwa sababu ya ujinga na roho ya kike iliyokutawala unadhani Forex ni Ontario ...


Forex ilikuwepo, ipo na tutaiacha.
 
Mbona kuna watu wanatrade kwa kutumia Broker tofauti as per your factors, Mimi nikitrade kwa kutumia XM au Tickmill Ontario ananufaika vipi ????


Acheni kuvuna dhambi za bure kupakazia watu vitu vya uongo.
 
katika maisha yangu hata ubalozi wa marekani nimeshawai fanya kazi ambako kwako wewe hata kuingia ndani ya geti tu ni ndoto kubwa .. naanzia wapi kuajiriwa kigoma kambini... ha ha ha mtakufa na ujinga wenu mabwege nyinyi... mchangieni bwana wenu ada za forex akalimie.. hivi unamiliki biashara 5 dar ambayo inakulazimu daily uikague halafu unafanya kazi kigoma kambini inawezekana kweli?

Mwanaume mzima eti umekalisha makalio yako ati unasema unadownload hela hiyo akili matope? Forex ni wizi kama wizi mwingine tu.

wanaume wakutafutie hela kwa jasho wewe uzidownload tu .. haya mambo ya kupenda vya bure ndio mnakuwa mashoga nyinyi

 
Bongo bongolala ***** zenu endeleeni tu na majungu ndo mana mkiamka asubuhi mnashika mbupu badala ya kukuna kichwa na kuwaza ya kuwaondoa kwenye poverty
 
Mwacheni jamaa amalizie kukamata ng'ombe alowaachia.nahisi huyu jamaa huwa anaenda africa magharibi kusomea utapeli.
 
Ngoja usiku huu nijifunza kuhusu forex kwnz...niweze kuingia kwny hii mijadala nikiwa na kitu kichwani
 
Naenda kulala kwa staili hii nimemaliza siku ya leo, kesho Mungu atupe uzima tena, endela kuhate tunaendelea kuPRINT PESA

 
Mtaendelea kuweweseka na ontario na ni kijana wa miaka 24 kaona fursa kawafundisha namna ya kutafuta ela kwa njia ya kawaida japo msitegemee sana ajira lakin majungu mwanzo mwisho ila muda ndio msema Kweli na Hongera ontario umeweza kua na ofisi yako nzuri kabisa unapiga pesa maisha yanaendelea uzuri anawajua waswahili mwanzo mwisho ndio maana anazidi kusonga haya kelele zote humu darasa la January 19 watu washajiandikisha wa kutosha ni pesa juu ya pesa SALUTE ONTARIO
 
Nipatie ajira mkuu
 
Mbona kuna watu wanatrade kwa kutumia Broker tofauti as per your factors, Mimi nikitrade kwa kutumia XM au Tickmill Ontario ananufaika vipi ????


Acheni kuvuna dhambi za bure kupakazia watu vitu vya uongo.
Yaani ulikuwa unanijibu mimi au umekosea wa kumjibu?
 
Bongo bongolala ***** zenu endeleeni tu na majungu ndo mana mkiamka asubuhi mnashika mbupu badala ya kukuna kichwa na kuwaza ya kuwaondoa kwenye poverty
Darasa la forex ndyo unafundishwa izi lugha?
 
Lakini kasema haoi makahaba wa kinyarwanda
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…