Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Status
Not open for further replies.
Mkuu samahani sina nia kukudhalilisha lakini naomba kuuliza swali.

Kwa uandishi wako kama huu nawewe pia umelielewa somo la Forex trading vizuri na unapiga pesa za kutosha?

Aisee kumbe hii biashara ni rahisi mno kupiga pesa!!
[emoji23] [emoji23] huwezi amini mimi huyu amenitia moyo sana...kama ameweza yeye naamini hata mimi nitaweza
 
Sijawahi waamini wafuasi wa Prophet Bushiri na wengine wenye silika yao.
 
Ndio maana napenda uchoyo maana Kuna watu ukiwaongezea akili watakutusi, bora wabakie wajinga tu.
ONTARIO wa watu kajitoa, ila ndio chuki zamuendea
 
Watetezi wa Ontario mmezidi sasa..Hivi amewapa nini huyu jamaa? Au hizi account zinazomtetea ni zaje mweyewe?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom