Unachotaka kusema ni kwamba hata le mechi ya kombora la fei toto, manula alijikata kidole maksudi ili asidake?Kwani siku akisikia wanacheza na Yanga lazima acheze si atadai anaumwa au kaumia, Mbona mwenzake Aishi Manula ndio mbinu anayo tumia ku mkwepa Mayele.[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa Yanga hii, Manula awampati Ngo' atajivunja Kila siku.unachotaka kusema ni kwamba hata le mechi ya kombora la fei toto, manula alijikata kidole maksudi ili asidake ??
Kwani Kisinda ameitwa timu ya taifa DRC?Hapa onyango atajilaumu kwanini karudi.maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu.
Naona mda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALE PALE
Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapgwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
Anaogopa kiberenge cha SGRHapa onyango atajilaumu kwanini karudi.maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu.
Naona mda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALE PALE
Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapgwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
Ila wachezaji wa simba walishawahi kuvaa medali za CAF kitu ambacho ktk Maisha yote ya wachezaji wa uto haitatokeaYanga niwakubwa Kwa Tanzania ana vikombe 28 Vya ligi kuu, Simba Hana ukubwa Tanzania Wala uko Caf. Ili uwe mkubwa uwe na vikombe bahati mbaya uko Caf Simba Hana chake, na Tanzania Hana chake.
Ila wachezaji wa simba walishawahi kuvaa medali za CAF kitu ambacho ktk Maisha yote ya wachezaji wa uto haitatokea
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hahahaaa kwamba manula Bora ajivunje tu kuliko kukutana na mayele.Kwa Yanga hii, Manula awampati Ngo' atajivunja Kila siku.
Mabingwa wa Historia since 1998 dooooooh1998 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]