Onyango alivosikia Kisinda amerudi Yanga akaomba kuondoka, alivyosikia TFF wamemfungia akarudi Simba, asiyempenda karudi, sasa itakuwaje?

Onyango alivosikia Kisinda amerudi Yanga akaomba kuondoka, alivyosikia TFF wamemfungia akarudi Simba, asiyempenda karudi, sasa itakuwaje?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Hapa Onyango atajilaumu kwanini karudi maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu.

Naona muda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALEPALE

Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapigwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
😂
😂
😂
 
Kwani siku akisikia wanacheza na Yanga lazima acheze si atadai anaumwa au kaumia, Mbona mwenzake Aishi Manula ndio mbinu anayo tumia ku mkwepa Mayele.[emoji2][emoji2][emoji2]
Unachotaka kusema ni kwamba hata le mechi ya kombora la fei toto, manula alijikata kidole maksudi ili asidake?
 
Mashabiki wa yanga mnaitwa kwenye page ya Caf champions league kule ndo kwa wakubwa haya mambo ya manara kwamba anawaaminisha kuchukua ubingwa na kuifunga simba ndo ukubwa matokea yake ndo haya sasa.
 
Hapa onyango atajilaumu kwanini karudi.maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu.

Naona mda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALE PALE

Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapgwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
😂
😂
😂
Kwani Kisinda ameitwa timu ya taifa DRC?
 
Hapa onyango atajilaumu kwanini karudi.maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu.

Naona mda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALE PALE

Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapgwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
[emoji23]
[emoji23]
[emoji23]
Anaogopa kiberenge cha SGR

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Yanga niwakubwa Kwa Tanzania ana vikombe 28 Vya ligi kuu, Simba Hana ukubwa Tanzania Wala uko Caf. Ili uwe mkubwa uwe na vikombe bahati mbaya uko Caf Simba Hana chake, na Tanzania Hana chake.
Ila wachezaji wa simba walishawahi kuvaa medali za CAF kitu ambacho ktk Maisha yote ya wachezaji wa uto haitatokea

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Onyango akisikia tu jina Kisinda anapata degedege!!

bado ana maluweluwe ya ile siku alipomshika miguu na kuburuzwa na TK Master hadi akamuomba msamaha na "kumuamkua" jamaa , shikamoo TK Master!

Sipati picha itakuwaje TK Master, Sureboy, Aziz Ki, Feisal na Mayele hiyo kombination hata waje Real Madrid au Brazil wanakufa tu!

Asikwambie mtu hii Yanga tamu sana maana sasa tumesha jimilikisha makombe yote ya Bara, Africa na klabu bingwa ya Dunia! kombe ambalo hatulitaki ni mapinduzi tu!

mechi za kirafiki tunataka tucheze na saizi yetu tu kina PSG , Real Madrid , Man City na Barca kama hao wako bize hatuchezi na vi timu vya Misri vinatushusha kiwango!!

kwasasa Yanga tuko kamili kila idara lete mjinga yoyote tunampasua tu! Lete Kolo FC na mdhungu wao tunapiga tu kama kumsukuma mlevi!
 
Yani ka akili zimewaruka Yani huyo Tusila ndo nanii? Yani na alivyomwembamba safarii hii ajiandae kuvunjwa miguu
 
Nimecheka sana[emoji1787][emoji23] kumbe manura huwa anajifanya mgonjwa kukwepa kkoo Derby
 
Back
Top Bottom