Hapa tunaongelea mpira naipenda club yangu. Ww hapo unaongelea soka au mahabq yako. Unatka niseme nakupenda wewe kichwa panzi?Na hapo ndipo unapoonyesha uboya
Unapenda team kuliko soka
Wakifumuliwa basi wasiambiwe kweli wewe ni bambukicha..
Narudia wamepigwa kama....?
Sema tu kama unanipenda huwa hatukatai..🤭🤭Hapa tunaongelea mpira unatka niseme nakupenda wewe kichwa panzi?
Haitosaidia huko kwenu wote ni mbumbumbu tu mpaka weweLeo natengua kauli Yang wote wana akili kasoro wewe Its Pancho
Wewe si uko form one ww? Unataka niambiwe nakubakaSema tu kama unanipenda huwa hatukatai..🤭🤭
Kiukweli wanakosea Sana,Onyango bonge la bekiIla simba inaua sana vipaji.
Beki kama onyango kweli wamuweke benchi mpaka akose timu ya maana mbeleni ndio wafurahi
Sawa si unanisomesha eeh aunty.🤣Wewe si uko form one ww? Unataka niambiwe nakubaka
Kwakweli sijapenda au huwa sipendi kuwageuza timu sio Simba tuu hata Yanga kusema Malaya,sijui wanawake sijui wameolewa sijui wamepakatw.. etc... do not take it personal.Sawa si unanisomesha eeh aunty.🤣
Hivi kuna agenda gani wewe na onyango maana leo umewaka sana
Mchawi mwiguluHapa mchawi ni hao Singida, wanamtamanisha na
Mzoee tu nashangaa kamaliza hasira kwangu 🤣🤣POVU
Shida iko kwako Rage hakukosea kabisaOnyango ana mkataba na simba ila anaiomba tff wavunje mkataba?? Teh teh teh kweli manara hakukosea kabisa.
Kwahiyo akienda SBS ndio hatokutana na kisinda?Simba inazidi kuporomoka kwa kasi kubwa sana.
Licha ya vipigo ilivyopokea majuzi kama Malaya wa Buzwagi lakini hilo sio kubwa sana.
Mlinzi Mkenya Joash Onyango ameandika barua Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) akiomba iuvunje mkataba wake na Simba kwa kile anachosema haoni kama anaweza kupata nafasi ya kucheza.
Onyango amekuwa na wakati mgumu wa kupata nafasi toka awasili Kocha Zoran Maki.
Oyango analazimisha kuondoka Simba baada ya kuona kuna ugumu wa kupata namba mbele ya Mohammed Outtara ambaye ni chaguo la Kocha.
Zipo taarifa, Onyango anataka kuondoka baada ya Singida Big Stars kumuwekea ofa nono na Mkenya huyo anaona bora aondoke maana Simba hakieleweki kwake.
NB: onyango baada ya kusikia kisinda karudi mwamba hataki tabu kabisa..
Avumilie tu haoni mwenzie maguire kacheza leo pasipo kutarajiaSimba inazidi kuporomoka kwa kasi kubwa sana.
Licha ya vipigo ilivyopokea majuzi kama Malaya wa Buzwagi lakini hilo sio kubwa sana.
Mlinzi Mkenya Joash Onyango ameandika barua Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) akiomba iuvunje mkataba wake na Simba kwa kile anachosema haoni kama anaweza kupata nafasi ya kucheza.
Onyango amekuwa na wakati mgumu wa kupata nafasi toka awasili Kocha Zoran Maki.
Oyango analazimisha kuondoka Simba baada ya kuona kuna ugumu wa kupata namba mbele ya Mohammed Outtara ambaye ni chaguo la Kocha.
Zipo taarifa, Onyango anataka kuondoka baada ya Singida Big Stars kumuwekea ofa nono na Mkenya huyo anaona bora aondoke maana Simba hakieleweki kwake.
NB: onyango baada ya kusikia kisinda karudi mwamba hataki tabu kabisa..
Nimeamini wenye akili huko ni wawili tuMakolo mlipeni Onyango pesa zake aondoke akatafute furaha kwingine