Onyango aomba kuvunja mkataba, andika barua TFF..

Na hapo ndipo unapoonyesha uboya
Unapenda team kuliko soka

Wakifumuliwa basi wasiambiwe kweli wewe ni bambukicha..
Narudia wamepigwa kama....?
Hapa tunaongelea mpira naipenda club yangu. Ww hapo unaongelea soka au mahabq yako. Unatka niseme nakupenda wewe kichwa panzi?
 
Qoute vzr hilo jina dogo pancho. Sasa si unaona hata ku qoute tuu unashindwa
 
Sawa si unanisomesha eeh aunty.🤣

Hivi kuna agenda gani wewe na onyango maana leo umewaka sana
Kwakweli sijapenda au huwa sipendi kuwageuza timu sio Simba tuu hata Yanga kusema Malaya,sijui wanawake sijui wameolewa sijui wamepakatw.. etc... do not take it personal.
 
Onyango ana mkataba na simba ila anaiomba tff wavunje mkataba?? Teh teh teh kweli manara hakukosea kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Simba inazidi kuporomoka kwa kasi kubwa sana.
Licha ya vipigo ilivyopokea majuzi kama Malaya wa Buzwagi lakini hilo sio kubwa sana.

Mlinzi Mkenya Joash Onyango ameandika barua Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) akiomba iuvunje mkataba wake na Simba kwa kile anachosema haoni kama anaweza kupata nafasi ya kucheza.

Onyango amekuwa na wakati mgumu wa kupata nafasi toka awasili Kocha Zoran Maki.

Oyango analazimisha kuondoka Simba baada ya kuona kuna ugumu wa kupata namba mbele ya Mohammed Outtara ambaye ni chaguo la Kocha.

Zipo taarifa, Onyango anataka kuondoka baada ya Singida Big Stars kumuwekea ofa nono na Mkenya huyo anaona bora aondoke maana Simba hakieleweki kwake.

NB: onyango baada ya kusikia kisinda karudi mwamba hataki tabu kabisa..
Kwahiyo akienda SBS ndio hatokutana na kisinda?

HUNA AKILI.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Simba inazidi kuporomoka kwa kasi kubwa sana.
Licha ya vipigo ilivyopokea majuzi kama Malaya wa Buzwagi lakini hilo sio kubwa sana.

Mlinzi Mkenya Joash Onyango ameandika barua Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) akiomba iuvunje mkataba wake na Simba kwa kile anachosema haoni kama anaweza kupata nafasi ya kucheza.

Onyango amekuwa na wakati mgumu wa kupata nafasi toka awasili Kocha Zoran Maki.

Oyango analazimisha kuondoka Simba baada ya kuona kuna ugumu wa kupata namba mbele ya Mohammed Outtara ambaye ni chaguo la Kocha.

Zipo taarifa, Onyango anataka kuondoka baada ya Singida Big Stars kumuwekea ofa nono na Mkenya huyo anaona bora aondoke maana Simba hakieleweki kwake.

NB: onyango baada ya kusikia kisinda karudi mwamba hataki tabu kabisa..
Avumilie tu haoni mwenzie maguire kacheza leo pasipo kutarajia
 
Back
Top Bottom