Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Chei Chei.....
Nimefuatilia mahojiano ya Rais, Tajiri na mwekezaji mwenye mapenzi wa dhati na Simba Sc, Mh. Mohammed Dewji yaliyofanywa na Saleh Jembe, nimesikitika kusikia Simba imepewa 1.5 billioni za usajili lakini upigaji umekuwa mwingi.Miongoni mwa upigaji wa pesa za Rais Mo ni kuwaongezea mikataba wachezaji waliovuka miaka 40 kama kina Nyoni,Bocco na Onyango.
Ni wazi mechi ya leo dhidi ya Raja Cassablanca imetuonesha wapi panapovuja.....Simba tuna wachezaji wazee wasioweza kuendana na kasi ya mpira wa kisasa (kileo), Erasto nyoni licha ya kucheza dk 90 (sijui kwanini) bado ameonesha ni jinsi gani ambavyo hastahili hata kupewa dk 5 za kuitumikia simba, amechoka hata kukimbia kufukuza mpira hawezi tena. Onyango nae licha ya kudanganya umri ameonesha kuwa wakati umeshamtupa mkono ni muda sasa wa kwenda kutafuta chamgamoto mpya sehemu nyingine.
Simba kama tunahitaji mafanikio ni lazima tuwe wakweli, kikosi chetu kinahitaji wachezaji wapya vijana watakaoipambania timu sio hawa kina mkude,onyango,bocco na nyoni.