agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Naweza kukutafuta?sitakaa nikudharau hata siku moja kwenye maisha yangu umenionesha jinsi dunia inavyoliwa na wachache wenye maarifa na wanaojua kutumia bongo zao vizur mimi now naishi kwa pesa ya forex japo bado sijafika kuwa na mamilion ila siku c nyingi nitafika huko.... Mungu akupe maisha marefu ndugu yetu wewe umetuokoa na utatuokoa vijana wengi kwenye hii nchii..msimdharau huyu kijana kabisa kama hajakukomboa wewe basi atamkomboa ndugu yako
Padri Mcharo UPO KWENYE KIZA MKUU, ONTARIO HAJAFANIKIWA KUPITIA FOREX, KAFANIKIWA KUPITIA MIRADI MINGNE
FOREX NA KAMARI MKUU.
nkwarisambu NAONA UNAPGA PROMO MKAWAPIGE WAJINGA.
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??Mgegedaji.
aaah mkuu huyu jamaa simjui hata ameniibia avatar tangu jana yaani anazunguka nayo huku jukwaani kutafutia kiki...sihusiki kabisa na hiyo ID yake
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??kumbe Ontario ni lijambawazi...dadeki tumeshtuka
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??
Acha usanii mkuu, Kuna mamilioni ya picha (avatar) huko lakini unaona SAWA kutumia hii ya kwangu ambayo nimeweka na jina langu kabisa...
kiroho safi nakuomba ubadilishe hii avatar kwa maana mimo nitaonekana msanii na hata sifa mbaya huku jukwaani..
Hapa JF kila mtu ana avatar yake inayomtambulisha...nakuambia hivi kwa kuwa wewe ni mgeni na hata kama ni mwenyeji umefungua ID mpya hilo jambo unalofanya ni UZINGUAJI MKUU..
ACHA WIZI WA KUIBA AVATAR ZA WATU
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sent from my iDevice using Tapatalk
sawa nicheck inbobo mkuu...Naweza kukutafuta?
Mkuu I can see this is too heavy for you to handle. But fear not, we know what you are doing, we believe in you na tutaendelea kupambana pamoja!!Time will talk!! JF wamefuta kwa sababu za kiofisi, mimi pia sizifahamh. Kama unahisi Ontario ni tapeli, basi nipe week 2 kuanzia Jumatatu ya kesho.
Hujui unachoongea mkuu wangu!!WAKUU HUU NI UTAPELI, JAMAA ANAFICHA KUANZIA SURA HADI JINA LA KAMPUNI.
SASA KAMA KUNA HUYU kinga666 ANASEMA NI KAMPUNI YA KILIMO SASA KILIMO NA FOREX WAPI NA WAPI?
YEYE ATAKUSANYA HZO 65 ZENU ATAENDA KUTUMBUKIZA KWENYE MIRADI YAKE HALISI HALAFU NYIE MTAACHWA NA KAMARI ZA FOREX NA KILIO KIKUU
MTAKUJA KUSHUHUDIA HILI
HUYU ONTARIO HAJAWAH KUFANYA HYO FOREX YEYE ANADEAL NA KILIMO
Natamani sana nikutukane maana mnaboa sanaMkaruka HAKUNA ALIYESEMA JAMAA HAJAFANIKIWA.
ILA JAMAA HAJAFANIKIWA KUPITIA FOREX. ANADEAL NA MIRADI TOFAUTI KABISA.
SASA ALIYEKUAMBIA MTU ALIYEFANIKIWA HAWEZ KUTAPELI NANI?
NJIA ZA KUACUMULATE PESA ZIKO NYINGI MKUU.
HATA UJAMBAZI WATU WANAUTUMIA KUJIIMARISHA KWENYE MIRADI YAO (MONEY LAUNDERING)
Kwa hyo skatai jamaa kafanikiwa ila syo kwa forex
Fanyeni Investment ambazo ni za uhalisia, hii kamari anawaibia tu.
Yes 2pe wek mbili mzeemdingi.....we are #TMT#members[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Why now? Thread imekaaa muda mrefu sana.
Sitaki kuamini Kama zimeondolewa kwa kuwa Ontario ni tapeli. Nadhani ametumia Forum "Kujinufaisha" (nimekosa msamiati stahiki). Naamini alikua na bado ana nia Njema sana.
Pengine Uongozi wa JF ungetupa sababu kwa nini wameona ni vyema kuziondoa Nyuzi za Ontario. Ili wengine pia tujifunze isijirudie tena huko mbele.
2 wek only#TMTUkiitwa ktk fulsa ya kutengeneza hela ujue pia ww ni mwenyewe ni fulsa ndio maana umeitwa kama ww sio fulsa huwezi itwa hata siku moja za kuzaliwa changanya na za ukubwani utakuwa MTU kamili.
Sent using Iphone 7+
Achana na wajinga ndio waliwao. Kazi inayolipa ni uzalishaji kwa jasho mwenyewe. Serikali sasa imaweka mazingira mazuri yenye fursa nyingi za kazi ya uzalishaji.hakuna maisha rahisi kijana fanya kazi bora ununue hisa zako physical pale tbl ukeshe pale stock market uuze na kununua kila siku.haya mambo ya online money ni scam tupu. bora ucheze biko
Serikali gani?? Unaishi nchi gani??Achana na wajinga ndio waliwao. Kazi inayolipa ni uzalishaji kwa jasho mwenyewe. Serikali sasa imaweka mazingira mazuri yenye fursa nyingi za kazi ya uzalishaji.
Usiishi kwenye mawazo na fikra ndani ya kisanduku! Hakuna mjomba wa kukuondolea umaskini isipokuwa wewe mwenyewe. Wahenga walinena Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.
Kaa kando...ww endelea kucheza singeli na Dada zako nyumbani!!Usiishi kwenye mawazo na fikra ndani ya kisanduku! Hakuna mjomba wa kukuondolea umaskini isipokuwa wewe mwenyewe. Wahenga walinena Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.
Kama hizo fursa huzioni, ila tu za kuandika malalamiko na lawama mitandaoni, ujue kwamba wewe ni mjinga. Na Ujinga ni baba wa UMASKINI