Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

sitakaa nikudharau hata siku moja kwenye maisha yangu umenionesha jinsi dunia inavyoliwa na wachache wenye maarifa na wanaojua kutumia bongo zao vizur mimi now naishi kwa pesa ya forex japo bado sijafika kuwa na mamilion ila siku c nyingi nitafika huko.... Mungu akupe maisha marefu ndugu yetu wewe umetuokoa na utatuokoa vijana wengi kwenye hii nchii..msimdharau huyu kijana kabisa kama hajakukomboa wewe basi atamkomboa ndugu yako
Naweza kukutafuta?
 
Padri Mcharo UPO KWENYE KIZA MKUU, ONTARIO HAJAFANIKIWA KUPITIA FOREX, KAFANIKIWA KUPITIA MIRADI MINGNE

FOREX NA KAMARI MKUU.

Mkuu,

Binafsi nimesoma ile thread yake. Sikumbuki Kama alisema amefanikiwa sana sana Kupitia Fx.
But, naamini kwa kiasi Fulani amefanikiwa kupitia hiyo miradi yake ya kilimo. Na nilikua najibu hoja ya mmoja wa wachangiaji wako kuwa hajawahi kutaja jina la kampuni yake.

ONTARIO simfahamu kabisa kabisa, hata kwenye Launch ya Fx Sikuenda Lakini ninajua Forex sio UTAPELI na sio KAMARI. Kama Yeye ni tapeli Au anatumia Fx Kutapeli wengine..naamini utakua una sababu zako za kuamini hivyo. Mimi siamini Kama unachodhani ni sahihi.
 
Mgegedaji.
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??

Acha usanii mkuu, Kuna mamilioni ya picha (avatar) huko lakini unaona SAWA kutumia hii ya kwangu ambayo nimeweka na jina langu kabisa...

kiroho safi nakuomba ubadilishe hii avatar kwa maana mimo nitaonekana msanii na hata sifa mbaya huku jukwaani..

Hapa JF kila mtu ana avatar yake inayomtambulisha...nakuambia hivi kwa kuwa wewe ni mgeni na hata kama ni mwenyeji umefungua ID mpya hilo jambo unalofanya ni UZINGUAJI MKUU..

ACHA WIZI WA KUIBA AVATAR ZA WATU

Sent from my iDevice using Tapatalk

Sent from my iDevice using Tapatalk

Sent from my iDevice using Tapatalk

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
kumbe Ontario ni lijambawazi...dadeki tumeshtuka

Hawa wezi wa avatar wanazingua mkuu
 
Time will talk!! JF wamefuta kwa sababu za kiofisi, mimi pia sizifahamh. Kama unahisi Ontario ni tapeli, basi nipe week 2 kuanzia Jumatatu ya kesho.
Mkuu I can see this is too heavy for you to handle. But fear not, we know what you are doing, we believe in you na tutaendelea kupambana pamoja!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAKUU HUU NI UTAPELI, JAMAA ANAFICHA KUANZIA SURA HADI JINA LA KAMPUNI.

SASA KAMA KUNA HUYU kinga666 ANASEMA NI KAMPUNI YA KILIMO SASA KILIMO NA FOREX WAPI NA WAPI?

YEYE ATAKUSANYA HZO 65 ZENU ATAENDA KUTUMBUKIZA KWENYE MIRADI YAKE HALISI HALAFU NYIE MTAACHWA NA KAMARI ZA FOREX NA KILIO KIKUU

MTAKUJA KUSHUHUDIA HILI

HUYU ONTARIO HAJAWAH KUFANYA HYO FOREX YEYE ANADEAL NA KILIMO
Hujui unachoongea mkuu wangu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkaruka HAKUNA ALIYESEMA JAMAA HAJAFANIKIWA.

ILA JAMAA HAJAFANIKIWA KUPITIA FOREX. ANADEAL NA MIRADI TOFAUTI KABISA.

SASA ALIYEKUAMBIA MTU ALIYEFANIKIWA HAWEZ KUTAPELI NANI?

NJIA ZA KUACUMULATE PESA ZIKO NYINGI MKUU.

HATA UJAMBAZI WATU WANAUTUMIA KUJIIMARISHA KWENYE MIRADI YAO (MONEY LAUNDERING)

Kwa hyo skatai jamaa kafanikiwa ila syo kwa forex

Fanyeni Investment ambazo ni za uhalisia, hii kamari anawaibia tu.
Natamani sana nikutukane maana mnaboa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Why now? Thread imekaaa muda mrefu sana.
Sitaki kuamini Kama zimeondolewa kwa kuwa Ontario ni tapeli. Nadhani ametumia Forum "Kujinufaisha" (nimekosa msamiati stahiki). Naamini alikua na bado ana nia Njema sana.
Pengine Uongozi wa JF ungetupa sababu kwa nini wameona ni vyema kuziondoa Nyuzi za Ontario. Ili wengine pia tujifunze isijirudie tena huko mbele.
Yes 2pe wek mbili mzeemdingi.....we are #TMT#members

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna maisha rahisi kijana fanya kazi bora ununue hisa zako physical pale tbl ukeshe pale stock market uuze na kununua kila siku.haya mambo ya online money ni scam tupu. bora ucheze biko
Achana na wajinga ndio waliwao. Kazi inayolipa ni uzalishaji kwa jasho mwenyewe. Serikali sasa imaweka mazingira mazuri yenye fursa nyingi za kazi ya uzalishaji.
 
Kama nitapewa miongoni mwa kazi mbili kati ya hizi wallah naapa mimi nitachagua hii ya pili maana ndio rahisi kabisaa

1. Kuelewesha 'baadhi' ya Watanzania (kama mtoa mada) namna ya kutokuongelea au kupinga jambo fulani pasi na kuwa na taarifa sahihi juu ya jambo hilo

2. Kazi ya kuusambaratisha Mlima kilimanjaro kwa Chepe.

N.b Tusipende kubisha au Kuzungumzia jambo fulani bila ya kuwa na information sahihi juu ya jambo hilo.
 
Serikali gani?? Unaishi nchi gani??

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiishi kwenye mawazo na fikra ndani ya kisanduku! Hakuna mjomba wa kukuondolea umaskini isipokuwa wewe mwenyewe. Wahenga walinena Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.

Kama hizo fursa huzioni, ila tu za kuandika malalamiko na lawama mitandaoni, ujue kwamba wewe ni mjinga. Na Ujinga ni baba wa UMASKINI
 
Heee, kumbe kiliwaka namna hii.?

Ninachujua tuu kesho asubuhi ya saa 3 nitakuwa siti ya mbele kusubiria pindi.

Hayo mengine ya utapeli sijui nini hayanihusu.

Ila mnachotakiwa kufahamu ni kwamba "NO VICTORY WITHOUT SACRIFICE". That is all i can say.
 
Usiishi kwenye mawazo na fikra ndani ya kisanduku! Hakuna mjomba wa kukuondolea umaskini isipokuwa wewe mwenyewe. Wahenga walinena Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.

Kama hizo fursa huzioni, ila tu za kuandika malalamiko na lawama mitandaoni, ujue kwamba wewe ni mjinga. Na Ujinga ni baba wa UMASKINI
Kaa kando...ww endelea kucheza singeli na Dada zako nyumbani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom