agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Naweza kukutafuta?sitakaa nikudharau hata siku moja kwenye maisha yangu umenionesha jinsi dunia inavyoliwa na wachache wenye maarifa na wanaojua kutumia bongo zao vizur mimi now naishi kwa pesa ya forex japo bado sijafika kuwa na mamilion ila siku c nyingi nitafika huko.... Mungu akupe maisha marefu ndugu yetu wewe umetuokoa na utatuokoa vijana wengi kwenye hii nchii..msimdharau huyu kijana kabisa kama hajakukomboa wewe basi atamkomboa ndugu yako