True!!!Hahahahaaa mkuu mbege ni kinywaji cha huku kwetu na inaonekana mleta mada ni huku kwetu. Kwa kifupi ametuaibisha sana kwa mawazo ya kipuuzi kama haya!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True!!!Hahahahaaa mkuu mbege ni kinywaji cha huku kwetu na inaonekana mleta mada ni huku kwetu. Kwa kifupi ametuaibisha sana kwa mawazo ya kipuuzi kama haya!!
Sent using Jamii Forums mobile app
una uhakika sijaeka ,,madamsi uweke dollar dada ucheze? mimi nauza mbege nimeridhika
una uhakika sijaeka ,,madam
uwezi niona kwakweli,, jina hali reflect na chochote kwenye uhalisia wangu dreads sina kiongozi[emoji16],
Mbona sikuoni aisee eneo la tukio.?
Kutokana na jina lako natafuta mdada mwenye dreads hapa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naomba nieleweshe naona nachanganykiw 2Aliokwambia kwenye demo hupati loss nani unajua unachokiongea kweli wewe
Tafuta uzi wa D9 Club uone watu walivyokuwa wanashuka nondo..yani ungeweza siku hiyo hiyo kukopa mamilioni ya Pesa na kuwekeza...ila kwa sasa inaenda kufa kifo cha mendeForex is not a quick get rich scheme.
Watu wanapenda dy/dx sana...hela ingekuwa inapatikana kirahisi hivo wachina wangekuwa kariakoo wakiuza yeboyebo?
Jamaa kesha tajirika tayari kwa siku moja tuu...nielewe sijasema forex trading ni feki.ila hii ya kuita watu wakatrade ni feki katika watu mia tatu hata kumi hawatafika watakaopata hela.acheni kudanganya watu .kwanza mnahujumu uchumi.watu mia tatu kila mtu akitoa m moja ni sh ngapi hyo ?
Mkuu tafuta uzi wa D9 Club humu JF....watu waliwataadharisha watu hivi hivi.....Yaani pesa ni yangu, nimeitafuta mwenyewe. Nimeamua kuitumia kinamna hii, yet wanatokeza watu wanajifanya wanajua sana namna ya kupanga namna ya kuitumia pesa yangu.
Sipendi kuitwa kastama wa mtu!Nina wasiwasi wewe utakuwa wa upande ule wa 500k. Sasa umeona limekuchachia unataka kudiscourage customers wa wenzako. Hiyo siyo roho ya kijasiriamali bali wewe utakuwa mchawi tena unaroga wakati kumeshakucha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tafuta uzi wa D9 Club humu JF....watu waliwataadharisha watu hivi hivi.....
Watu wanapenda dy/dx sana...
Fanya utafiti. Tumi vyema simu yakoNikikumbuka mambo ya D9 Club ....Daah kuna watu waliipigia chapuo huwaambii chochote....
Ila yote maisha
Sio utapeli mbona nyuzi za utapeli wa kweli bado zimoNitumie fursa hii kuwapongeza JF kwa kuondoa nyuzi za biashara ya utapeli ya Forex iliyowekwa na bw ONTARIO
Kiukweli mimi ni miongoni mwa watu niliostukia utapeli huu lakini nilishangaa baadhi ya watu kulaghaika na maneno matamu.
Weng waliokuwa wanachochea na kuaminisha watu kiukweli wapo nyuma ya utapeli.
Nawasihi vijana, tufanye kazi tuache shortcuts
Aidha, Jf syo uchochoro wa utapeli.
Forex ni kama kamari zingne tofauti yake ni kwamba, kamari nyingi Tanzania zimesajiliwa lakini hii haikusajiliwa.
Ebu jiulize, jamaa alisema watu 300 wa mwanzo wangepewa training ya bure lakini baadaye akasema mchangie 65,000
65,000*300=19,500,000
Mwshowe angesema yeye ni fighter kumbe kawatapeli wajinga wanaopenda shortcuts.
Nawashauri vijana wenzangu, kuweni makini na matapeli, fanyeni kazi.