Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

una uhakika sijaeka ,,madam

[emoji16],

Mbona sikuoni aisee eneo la tukio.?

Kutokana na jina lako natafuta mdada mwenye dreads hapa.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16],

Mbona sikuoni aisee eneo la tukio.?

Kutokana na jina lako natafuta mdada mwenye dreads hapa.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
uwezi niona kwakweli,, jina hali reflect na chochote kwenye uhalisia wangu dreads sina kiongozi
 
Hapo wameambiwa kuhusu Forex.

Siku wakiambiwa kuhusu ETFs, Commodities, Futures, Options si watazimia?

Wengi wanatumia muda mwingi kubinua midomo instagram badala ya kujifunza vitu vya msingi.
 
nielewe sijasema forex trading ni feki.ila hii ya kuita watu wakatrade ni feki katika watu mia tatu hata kumi hawatafika watakaopata hela.acheni kudanganya watu .kwanza mnahujumu uchumi.watu mia tatu kila mtu akitoa m moja ni sh ngapi hyo ?
Jamaa kesha tajirika tayari kwa siku moja tuu...
 
Yaani pesa ni yangu, nimeitafuta mwenyewe. Nimeamua kuitumia kinamna hii, yet wanatokeza watu wanajifanya wanajua sana namna ya kupanga namna ya kuitumia pesa yangu.
Mkuu tafuta uzi wa D9 Club humu JF....watu waliwataadharisha watu hivi hivi.....
 
Nina wasiwasi wewe utakuwa wa upande ule wa 500k. Sasa umeona limekuchachia unataka kudiscourage customers wa wenzako. Hiyo siyo roho ya kijasiriamali bali wewe utakuwa mchawi tena unaroga wakati kumeshakucha

Sent using Jamii Forums mobile app
Sipendi kuitwa kastama wa mtu!
 
Watu wanapenda dy/dx sana...

Aisee, kwa post hii umeniangusha sana. Yaani unaonekana una uelewa wa Calculus lakini hujataka kutumia akili yako kufanya research ya what realy is Forex.

Yet unafananisha Forex na D9.
 
Nikikumbuka mambo ya D9 Club ....Daah kuna watu waliipigia chapuo huwaambii chochote....


Ila yote maisha
Fanya utafiti. Tumi vyema simu yako
Acha kuangilia picha za utupu na makalio ya kina Gigy money. Kama we ulipigwa na D9 club pole. Nenda kasome tena ujue forex sio market network. Narudia tena tumia vyema simu yako mkuu hasa bando lako katika mambo ya msingi. Taarifa ni kitu muhimu sana katika mafanikio ya maisha yako kiuchumi. Endelea kusema forex ni D9 club huku ukitazama picha za utupu kwenye simu yako. Muda ukifika utajua forex sio D9 na hakuna mtu w kukusaidia.

Nenda kafuge kuku..lima viazi...matikiti maji .

Hata sisi tunalima na kufuga pia na bado we need forex kuhimarisha kipato cha watukuu wetu waje wale kuku kwa mirija. [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitumie fursa hii kuwapongeza JF kwa kuondoa nyuzi za biashara ya utapeli ya Forex iliyowekwa na bw ONTARIO

Kiukweli mimi ni miongoni mwa watu niliostukia utapeli huu lakini nilishangaa baadhi ya watu kulaghaika na maneno matamu.

Weng waliokuwa wanachochea na kuaminisha watu kiukweli wapo nyuma ya utapeli.

Nawasihi vijana, tufanye kazi tuache shortcuts

Aidha, Jf syo uchochoro wa utapeli.

Forex ni kama kamari zingne tofauti yake ni kwamba, kamari nyingi Tanzania zimesajiliwa lakini hii haikusajiliwa.

Ebu jiulize, jamaa alisema watu 300 wa mwanzo wangepewa training ya bure lakini baadaye akasema mchangie 65,000

65,000*300=19,500,000

Mwshowe angesema yeye ni fighter kumbe kawatapeli wajinga wanaopenda shortcuts.

Nawashauri vijana wenzangu, kuweni makini na matapeli, fanyeni kazi.
Sio utapeli mbona nyuzi za utapeli wa kweli bado zimo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom