mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Asante kuifahamisha jamii ya JF kwamba kutwa unacheza singeli na Dada zako nyumbani. Na kwa mawazo yako hayo, Mzaleee, unahitaji msaada wa haraka ili uwese kujitambua, mtoto wa kiume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu maswali niliyouliza mkuu. Embu tulia unijibu!!Usiishi kwenye mawazo na fikra ndani ya kisanduku! Hakuna mjomba wa kukuondolea umaskini isipokuwa wewe mwenyewe. Wahenga walinena Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.
Kama hizo fursa huzioni, ila tu za kuandika malalamiko na lawama mitandaoni, ujue kwamba wewe ni mjinga. Na Ujinga ni baba wa UMASKINI
Embu WaTz ifike mahali tuache muda uongee.... wakujiandikisha wameshajiandikisha... na watakaoanza wameshaanza... tusubiri tu nyuzi zijazo juu ya ili Forex.
Huyu Ontario kafikiria sana yaan, kafikiria zaidi mara ya kwanza alisema bure.!!....!????
Pia,alisema aliwahi kupoteza kwaiyo hata wewe utakaejiunga ukawekeza Million yako ukiunguza account kashakuaminisha kua inatokea kupoteza... itakua ni uzembe wako na hakuna atakaekulipa....
... Pia, kakwambia ukishalipia form 65,000/=, ukapata form ndo usome vigezo, kama utakua huna vigezo hutopokelewa.... kwaiyo 65,000/= utaipotezea kiivyo yaani..
Pia ikumbukwe unaweza ukalipia 65, ukapewa mafunzo afu mwisho wa siku ukajikuta mtaji ni mkubwa kuliko uwezo wako... utarudi kulia apa ile 65...
Kwaiyo, sisi tupo bana.. tumebana kwenye kona apa tunasubiri mirejesho!....
NOTHING IS FOR FREE PEOPLE!! Hata hii elimu unayokimbilia kupewa ikiitwa bure kumbe ushalipia 65,000/=....unafikiri yeye ndo anataka kupoteza muda ili mradi tu? lazima apate apo kitu .
Za kuambiwa changanya na zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
dah! kweli kimfaacho mtu chake.bora niuze papuchi
Haina regulatory body wapi?mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki popote.ukitaka kujua jinsi ilivo feki fungua demo account hautokaa upoteze utakuwa unapata tu hata kama unakosea maksudi.lengo ni ili wakuvutie uweke mihela sasa hapo ndo utajua kama mbege ni zaidi ya henken.
bitcoin,forex trading ni kitu kimoja. broker wenu ambae ni mleta mada yulee atapata mihela huyo ngoja nihudumie wateja wengine naona wameingia kilabuni hapa
nachukua oda za mbege bado .
Haina regulatory body wapi?
Yenye regulatory body ndiyo hela ikiliwa inarudishwa?
HIVI KWANINI MNAHANGAIKA KIAS HIKI JAMAN, MIMI NIKIPOTEZA PESA NLOITAFUTA KWA NGUVU ZANG MWENYEWE WE INAKUHUSU NINI,TULIZEN VIHEREHERE VYENU BHANAmama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki popote.ukitaka kujua jinsi ilivo feki fungua demo account hautokaa upoteze utakuwa unapata tu hata kama unakosea maksudi.lengo ni ili wakuvutie uweke mihela sasa hapo ndo utajua kama mbege ni zaidi ya henken.
bitcoin,forex trading ni kitu kimoja. broker wenu ambae ni mleta mada yulee atapata mihela huyo ngoja nihudumie wateja wengine naona wameingia kilabuni hapa
nachukua oda za mbege bado .
bonyeza tu hivo hivo kwani sh ngapi?Wadau wa forex, hebu naombeni mnisaidie kunielewesha maana ya hizi terminologies kwa jicho la Forex trading:
- Spreads
- Lot
- Leverage
- Pips
Mwenye uelewa ama uzoefu wa Forex, naomba anieleweshe hizo terms kwa lugha rahisi kabisa... yani am a total beginner.
Nimejaribu kufungua demo account with Tickmill, daaah yani sijaelewa chochote mule. Sikuelewa hata nibonyeze wapi ili kuanza kutrade. Aisee kweli hii kitu inahitaji Training kwanza.
Nimeona magraphs na nyota nyota tu mule. Nimeshindwa hata nibofye wapi. Duh ama kweli hii kitu is 'not for everyone' ! 🙂🙂
![]()
-Kaveli-
Wadau wa forex, hebu naombeni mnisaidie kunielewesha maana ya hizi terminologies kwa jicho la Forex trading:
-Kaveli-
- Spreads
- Lot
- Leverage
- Pips
WAKUU HUU NI UTAPELI, JAMAA ANAFICHA KUANZIA SURA HADI JINA LA KAMPUNI.
SASA KAMA KUNA HUYU kinga666 ANASEMA NI KAMPUNI YA KILIMO SASA KILIMO NA FOREX WAPI NA WAPI?
YEYE ATAKUSANYA HZO 65 ZENU ATAENDA KUTUMBUKIZA KWENYE MIRADI YAKE HALISI HALAFU NYIE MTAACHWA NA KAMARI ZA FOREX NA KILIO KIKUU
MTAKUJA KUSHUHUDIA HILI
HUYU ONTARIO HAJAWAH KUFANYA HYO FOREX YEYE ANADEAL NA KILIMO