Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

Napata Wakati mgumu sana pale ninapokutana na mawazo ya vijana ambao katika maisha yao wako so pessimistic.
Katika maisha, ukikutana roho ya aina hiyo ikimbie hadi mguu uguse kisogo.
Unapokutana na mawazo hasi ya vijana wasioelewa fursa zilizopo katika internet huku kazi kubwa ya internet ni kuangalia ngono na kuiga maisha ya waliofanikiwa au walioharibikiwa.
Mtoa Uzi kama anavyojitambulisha ni kweli anaonekana kama ana tabia za vilabuni tena vya mataputapu. Na kama ni hivyo, haya mambo ya uchumi wa kisasa sio saizi yake.
Unawezaje kubeza cryptocurrency katika era hii, unawezaje kubeza Bitcoin, ethereum, and the like katika era hii.
Unawezaje kubeza Forex trade katika era hii.
Lazima kutambua kuwa, internet ni moja ya fursa muhimu kabisa za kiuchumi ambazo kwa sasa vijana kwa wazee hawana budi kuzichangamkia. Tunaposema dunia ni kama kijiji hili linatafsiriwa katika fursa za kiuchumi na mahusiano yasiyo na mipaka.
Yaani unataka Forex iwe regulated Dar ndio uanze kufanya biashara. Unataka cryptocurrency iwe regulated DSM. Haya ni maajabu kwa sasa, subiri iwe regulated na waache watu wenye kuona mbali waendelee kusonga mbele.
Mwisho, kama huwezi Ku take risk kaa hapohapo ulipo halafu baadaye utakuwa kibarua wa watu wanao take risk. Hayo ndio maisha maana kuna wengine wamezaliwa kuwa watumwa wa wengine.
 
Usiishi kwenye mawazo na fikra ndani ya kisanduku! Hakuna mjomba wa kukuondolea umaskini isipokuwa wewe mwenyewe. Wahenga walinena Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.

Kama hizo fursa huzioni, ila tu za kuandika malalamiko na lawama mitandaoni, ujue kwamba wewe ni mjinga. Na Ujinga ni baba wa UMASKINI
Hujajibu maswali niliyouliza mkuu. Embu tulia unijibu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kufanya forex ni vema uwe unajua tofauti ya Investing, speculation na gambling. Forex is purely speculation kama uko well trained otherwise is gambling. Kama unataka kufanya hii kitu fanya kwa kutumia hela ndogo ambayo unaweza kuipoteza bila kukuathiri mambo yako na cha umuhimu zaidi ifanye kama hobby usifanye serious otherwise utakuja kulia na kusaga meno. Watu wanamshambulia mleta mada kwa sababu washaaminishwa kuwa kuna hela inapatikana kwa urahisi, investing na speculation zote zinahitaji emotional discipline kubwa sana.
 
Mie ntakuja na project yangu ya [HASHTAG]#TBT[/HASHTAG].The billion team. wote mnakaribishwa sana kaeni mkao kuchuma shekelii tu
 
9743d0de7d5cdab896cf3daf15bafa46.jpg
Haters mpooooo???

IF YOU CANT FIGHT THEM JOIN THEM
 
Embu WaTz ifike mahali tuache muda uongee.... wakujiandikisha wameshajiandikisha... na watakaoanza wameshaanza... tusubiri tu nyuzi zijazo juu ya ili Forex.

Huyu Ontario kafikiria sana yaan, kafikiria zaidi mara ya kwanza alisema bure.!!....!????

Pia,alisema aliwahi kupoteza kwaiyo hata wewe utakaejiunga ukawekeza Million yako ukiunguza account kashakuaminisha kua inatokea kupoteza... itakua ni uzembe wako na hakuna atakaekulipa....

... Pia, kakwambia ukishalipia form 65,000/=, ukapata form ndo usome vigezo, kama utakua huna vigezo hutopokelewa.... kwaiyo 65,000/= utaipotezea kiivyo yaani..

Pia ikumbukwe unaweza ukalipia 65, ukapewa mafunzo afu mwisho wa siku ukajikuta mtaji ni mkubwa kuliko uwezo wako... utarudi kulia apa ile 65...

Kwaiyo, sisi tupo bana.. tumebana kwenye kona apa tunasubiri mirejesho!....

NOTHING IS FOR FREE PEOPLE!! Hata hii elimu unayokimbilia kupewa ikiitwa bure kumbe ushalipia 65,000/=....unafikiri yeye ndo anataka kupoteza muda ili mradi tu? lazima apate apo kitu .

Za kuambiwa changanya na zako.

Nasikitika kusema kuwa hakuna unalolifahamu juu ya yale yote uliyoandika hapo juu.
 
mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki popote.ukitaka kujua jinsi ilivo feki fungua demo account hautokaa upoteze utakuwa unapata tu hata kama unakosea maksudi.lengo ni ili wakuvutie uweke mihela sasa hapo ndo utajua kama mbege ni zaidi ya henken.
bitcoin,forex trading ni kitu kimoja. broker wenu ambae ni mleta mada yulee atapata mihela huyo ngoja nihudumie wateja wengine naona wameingia kilabuni hapa

nachukua oda za mbege bado .
Haina regulatory body wapi?

Yenye regulatory body ndiyo hela ikiliwa inarudishwa?

Unafahamu kwamba ukiweka hela zaidi ya Sh 1.5 m benki Tanzania,benki haina insurance juu ya hiyo hela? Hilo nalo ushatahadharisha?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haina regulatory body wapi?

Yenye regulatory body ndiyo hela ikiliwa inarudishwa?

Aende akaiulize Greece government kama baada ya ile crisis kama waliohifadhi pesa zao walirudishiwa.
 
mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki popote.ukitaka kujua jinsi ilivo feki fungua demo account hautokaa upoteze utakuwa unapata tu hata kama unakosea maksudi.lengo ni ili wakuvutie uweke mihela sasa hapo ndo utajua kama mbege ni zaidi ya henken.
bitcoin,forex trading ni kitu kimoja. broker wenu ambae ni mleta mada yulee atapata mihela huyo ngoja nihudumie wateja wengine naona wameingia kilabuni hapa

nachukua oda za mbege bado .
HIVI KWANINI MNAHANGAIKA KIAS HIKI JAMAN, MIMI NIKIPOTEZA PESA NLOITAFUTA KWA NGUVU ZANG MWENYEWE WE INAKUHUSU NINI,TULIZEN VIHEREHERE VYENU BHANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forex is real mkuu, but Forex trading is not a get-rich-quick scheme and it is more difficult to make money in Forex than what most people would have you believe. Kikubwa ni kurealize mapema kwamba losing is a part of trading the Forex markets, so you have to make sure to trade with the money which you can afford to lose.

protradersfc.png
 
Wadau wa forex, hebu naombeni mnisaidie kunielewesha maana ya hizi terminologies kwa jicho la Forex trading:

- Spreads
- Lot
- Leverage
- Pips

Mwenye uelewa ama uzoefu wa Forex, naomba anieleweshe hizo terms kwa lugha rahisi kabisa... yani am a total beginner.

Nimejaribu kufungua demo account with Tickmill, daaah yani sijaelewa chochote mule. Sikuelewa hata nibonyeze wapi ili kuanza kutrade. Aisee kweli hii kitu inahitaji Training kwanza.

Nimeona magraphs na nyota nyota tu mule. Nimeshindwa hata nibofye wapi. Duh ama kweli hii kitu is 'not for everyone' ! 🙂🙂

blob-jpg.587048

-Kaveli-
 
bonyeza tu hivo hivo kwani sh ngapi?
 
Wadau wa forex, hebu naombeni mnisaidie kunielewesha maana ya hizi terminologies kwa jicho la Forex trading:

  • Spreads
  • Lot
  • Leverage
  • Pips
-Kaveli-

Pip: - A pip is the smallest price move that a given exchange rate makes based on market convention. Since most major currency pairs are priced to four decimal places, the smallest change is that of the last decimal point; for most pairs, this is the equivalent of 1/100 of 1%, or one basis point. For example, the smallest move the USD/CAD currency pair usually makes is $0.0001, or one basis point.

Lot: - represents the standardized quantity of a financial instrument as set out by an exchange or similar regulatory body. a lot may represent the minimum quantity of that security that may be traded. Read more: Lot

Leverage: - Leverage is the investment strategy of using borrowed money: specifically, the use of various financial instruments or borrowed capital to increase the potential return of an investment.

Spreads: - difference between bid and ask price, buy and sell price.

Before you start to trade you need to understand basic English, decent laptop better to have two laptops and basic understanding of financial terms.

Trade only with serious company but if you haven't got money, that is not possible. You will end up with bucket shop companies. It is difficult to trade on mobile phones, to see all the graphs and information clearly.

Bucket shops tricks:- easy to deposit money, difficult to withdraw, they can trade against you, they can manipulate the feed into the charts you see and what you see on your screen, hunt your Stop Loss, widening spreads for no apparent reasons, slippage favourable to them and give you false price fluctuations to suit their companies. This is why it essential to have another independent reliable feed. Go for ECN or DMA if you can.

Mkuu 95% of new small retail traders lose their money, i am not discouraging you or anybody, go ahead, go for it.

Lets us know how things pan out after 6 months. Meanwhile learn from others here: www.trade2win.com/boards/general-trading-chat/223566-warren-buffet-suceeded-95-traders-fail-6.html. Forex Factory - I've figured out why so many people lose money in Forex. Bucket shops: - FX Scams Revealed: the Bucket Shop Mindset and Unfair Order Execution | Finance Magnates

Also you need another income before you start to trade, don't trade if you have not got a job or another income ,don't borrow money to do this. Don't put more than 10% of your income in this, It will drive you crazy.

Countries, Big sophisticated traders and big corporation they have sophisticated strategies, tactics, like using options (Insurance put and call options) to cover their position and minimizes their losses, if they lose.

Hapa watu wengi wanaojiamini wanaweka their trade lives: - www.etoro.com. So you can see how they perform everyday for yourself live.

Books read these books Marcel: -

Marcel Link : - Amazon product ASIN 0071381562
Market Wizards and New Market Wizards by Jack D. Schwager. Here he interview all top traders who made millions / billions give you their considered perspectives.

Amazon product ASIN 0887306675
Reminiscences of stock Operator by Edwin Lefevre: -

Amazon product ASIN 1946963062
Goodluck all with your trading.
 
WAKUU HUU NI UTAPELI, JAMAA ANAFICHA KUANZIA SURA HADI JINA LA KAMPUNI.

SASA KAMA KUNA HUYU kinga666 ANASEMA NI KAMPUNI YA KILIMO SASA KILIMO NA FOREX WAPI NA WAPI?

YEYE ATAKUSANYA HZO 65 ZENU ATAENDA KUTUMBUKIZA KWENYE MIRADI YAKE HALISI HALAFU NYIE MTAACHWA NA KAMARI ZA FOREX NA KILIO KIKUU

MTAKUJA KUSHUHUDIA HILI

HUYU ONTARIO HAJAWAH KUFANYA HYO FOREX YEYE ANADEAL NA KILIMO

Stop embarrassing your parents who sent you to school.
 
Back
Top Bottom