Onyo:kumuuzi mpenzio(me) ni hatari kwa afya yako.

Onyo:kumuuzi mpenzio(me) ni hatari kwa afya yako.

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Shikamoooh mapenzi!!poleni wadau wote wa MMU Kwa kufiwa na wadau wenzetu wa hli jukwaa(mume wa Ufoo salo,na Mr Munish).Dhumuni la uzi huu ni ku waweka ATTENTION wakina dada pind wanapoona ma boyfriend wao wamenuna au kukasirika ni bora wakimbilie polis tu kabla mshkaji hajamwaga ubongo wa binadamu kwa risasi.
ONYO:KUMUUZI MWANAUME NI HATARI KWA AFYA YAKO.
 
Sasa hivi kina dada hawawataki tena wanaume wanaomiliki miguu ya kuku.
 
ujinga mtupu..kwanini mtu ujiue hata kama amekuudhi kiasi gani... jus walk away..maisha ndo haya haya bwana.
 
ujinga mtupu..kwanini mtu ujiue hata kama amekuudhi kiasi gani... jus walk away..maisha ndo haya haya bwana.

hivi ulishawahi kupendwa na mwanaume kiasi kwamba akaona maisha yake hayana thamani bila wewe? Usiombe ukutane nae wahivyo mamy utalindwa kila kona
 
hivi ulishawahi kupendwa na mwanaume kiasi kwamba akaona maisha yake hayana thamani bila wewe? Usiombe ukutane nae wahivyo mamy utalindwa kila kona
my dear hata kama jamani..watu tulipenda na tulipendwa mpaka basi ila tukafika pakufika basi! mtu unajiondokea kimya .sema its all about controlling urself especial kama unahasira
 
Back
Top Bottom