onyo:kumuuzi mwanaume ni hatari kwa afya yako.
ujinga mtupu..kwanini mtu ujiue hata kama amekuudhi kiasi gani... jus walk away..maisha ndo haya haya bwana.
my dear hata kama jamani..watu tulipenda na tulipendwa mpaka basi ila tukafika pakufika basi! mtu unajiondokea kimya .sema its all about controlling urself especial kama unahasirahivi ulishawahi kupendwa na mwanaume kiasi kwamba akaona maisha yake hayana thamani bila wewe? Usiombe ukutane nae wahivyo mamy utalindwa kila kona