Ocean road
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 631
- 304
Kuna madomo zege wanatuma interview km Kiki ntaenda nao bampa to bampaKwahyo Humu Watu Wanamegana Kama Kawa Siku Hizi
We tulia km huna demu mzeeKweli vyuo vifunguliwe haraka
mwanza kwetu
Kuna masela wanatabia Za kiskonga wanazuga interview kumbe domo zege watupishe wenye sound Za kijentoBasi sawa
Madame S
Mke mwenza....ni nani huyo??Madem zako kina nani?
Ee Fa Ga Ha........[emoji13] [emoji13] [emoji13]Aba che de
Najua basi!!! Subiri labda atatueleza vizuri pombe zikimuishaMke mwenza....ni nani huyo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo jambaziKama unaitwa Khalifa Salmin ..alaf demu wako kakutumia msg kua yupo hospitals kalazwa so anadai umtumie hela...my friend khalifa huo ni uongo maana kuna dem nipo nae hapa kwenye daladala ndo ameandika iyo msg yan si mgonjwa. Ninakushtua tu mshikaj wangu maninja kusaidiana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]