Onyo kwa Conor na muosha rungu

Hivi nyie watoto hamna kazi ya kufanya??

Kama hamna kazi kuna eka mbili za nyanya mje mpige dawa!!

Acheni kupoteza muda kijinga kwa mambo ya kipuuzi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmhh jaman kwanini umeamua kuniharibia jomonii
Si ungenivungia tyuu
 
Weekend hua naishiwa maneno, lakini napenda kuwa msomaji ili nielewe tu...[emoji12] [emoji12]
We km ni muhenga wasanue Hao jamaa. Mi vagi langu huwa halizimw na mamwera

Wa kishua
 
Wazungu huwa wanasema
"A Real Soldier doesn't boast before the battle, BUT after it"
Sasa hapa ndio napata kuelewa Domo zege ni nani na gentle Ms ni kina nani, msiseme sikuwashtua.
Cc. Demi
Cc. Muosha rungu
Cc. Yajutu
Sasa Ocean Road kakojoe tu ukalale dogo subiri vyuo vifunguliwe tu, kuwa mpole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madem zako kina nani?
Aaaaaaah
Mwenzako I feel so good nikikuona
Au mwendo unafanya kusudi na ulivyoshona
Ati unakwenda au unarudi wakata konaaa
Nyuma ka katuni Za masudi ulivyonona
Hivi unaenda wa vifua km wa kishua...
Au wazee wa kununua mwaga not kina wa kishua...

Ooooo hhhhuuuu demi.....
Macho km unaniita.....
Saa Sita shepu boraaaa...

Show me show me unavyodance
Show me show me waoneshe unavyodance
Show me........ [emoji443] [emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji443]

Wa kishua
 
Wanafanana kila kitu akili ndogo!
King'ang'anizi

DJ sepetu
Ila jamaa ni mjanja sana ametaja majina ya watu waliokuwa ktk interview ya Jana akijua demi atakuja isitoshe akaweka id yake ya Connor kana conor ili kujificha apime upepo Wa mtongozo wake kwa demi kama ulikuwa Na matunda yeyote!!
Upo Connor! Unajificha ktk shamba la karanga!

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…