Onyo kwa Conor na muosha rungu

Onyo kwa Conor na muosha rungu

Wacha niangalie mpira...asante kwa taarifa hizi
 
Kuwa na jamaa kama huyu nitakuwa nimerogwa!
Mtt toboa hapa Kati
Vinabo wanakachi tupo gado
Infact double impact
Mambo hapa Kati
Kunipa mitikasi
Nishakamata majax
Nipale Kati Kwa faks
Usiogope maadui
Sterling auawi
Your my one onle...... [emoji443] [emoji443] [emoji442]

Wa kishua
 
Mi hata sihangaiki nao....demu wa kwenye picha anakutoa mate...acha hizo mwana...demu hujawahi muona hata live..avatar zisikuchanganye....
Haya ni mapenzi ya kulevya...
Nayumba nateleza...
Nayumba napoteza...

Kwenye mapenzi yenu nimedondoka km chopa
Wananiita wa kishua
Zee la kibembeleza
Mtt hawezi toka
cc.
demi
Maserati
emmyta
Mahandw

Wa kishua
 
Leo nawaonya nyie mazee mnaonyatia madem wa watu mnazuga na interview, kumbe ndo Gia ya kuwatongoza kwanza interview zenyewe hamjui mnauliza maswali ya kindezi tu yaan nye darasani ndo wale wanafunz tulikuwa tuwapiga konz na mnatuchekea interview Za kishamba waachen wtt wazur hawana time na nyie washamba kwanza msela unasaund km demu mimi nimepga vidato Sita na mwaka uu natimba chuo ila we sijui wa kujiita muosha sufiria na uyo boya konor anamsumbua demi achen ushamba
Mi ndo mzee Wa mavurugu waulize God na Jose ndo wananielewa nikishawaka mahasira ndo utaacha shobokea madem Za watu kuwafanyie interview wengine sio madem zangu
Nigger iam crazy in love with my Angel's find your own girls



Wa kishua
Ukimegewa demu wako tafuta mnyonge umumegee in mwana fa voice [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

the great
 
Conor ni zero km wewe tafuten madem kwa sound msipende kitonga afu nawataman kinyama tuzichape tuone nan mbabe

Wa kishua
Dogo kasome prep!! Utafeli paper ya darasa la saba next month!

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom