Nifundwe namna ya kutumia private message nawatext madem ni nawakubaliiWe km ni muhenga wasanue Hao jamaa. Mi vagi langu huwa halizimw na mamwera
Wa kishua
Dogo kapimwe mkojo...inaonesha ni psychopathAcha shombo dogo
Wa kishua
Mtt toboa hapa KatiKuwa na jamaa kama huyu nitakuwa nimerogwa!
Tuliza kitenesi nye ndo wanga wakuharibu mapenzi yetuDogo usitake watu wakujue una uelewa kiasi gani wa elimu yako maana haikusaidii kitu bora nenda shamba acha kumaliza pesa za wazazi wako acha wasome wadogo zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiskonga na kijento ndio niniKuna masela wanatabia Za kiskonga wanazuga interview kumbe domo zege watupishe wenye sound Za kijento
Wa kishua
Unataka tulime wote nani atakuwa cashier wa benkHivi nyie watoto hamna kazi ya kufanya??
Kama hamna kazi kuna eka mbili za nyanya mje mpige dawa!!
Acheni kupoteza muda kijinga kwa mambo ya kipuuzi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio cashier wa bank mnakua hamna kazi mpaka muandike upuuzi kama huu??Unataka tulime wote nani atakuwa cashier wa benk
We km huna demu lala tuachie uwanja tunaokubalika kwa wtt wakali
Wa kishua
Conor ni zero km wewe tafuten madem kwa sound msipende kitonga afu nawataman kinyama tuzichape tuone nan mbabeNahisi wewe ni Connor umekuja Na id tofauti baada ya kula ban!!
DJ sepetu
Haya ni mapenzi ya kulevya...Mi hata sihangaiki nao....demu wa kwenye picha anakutoa mate...acha hizo mwana...demu hujawahi muona hata live..avatar zisikuchanganye....
Qurie mambo unaonekana uko bombaMmhh jaman kwanini umeamua kuniharibia jomonii
Si ungenivungia tyuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwahyo Humu Watu Wanamegana Kama Kawa Siku Hizi
Ahahaaaaa poleSasa nimeelewa kwann nlipigwa mkwara kwa ajili ya ile mama.....nmekaa mbali kbs
Ukimegewa demu wako tafuta mnyonge umumegee in mwana fa voice [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Leo nawaonya nyie mazee mnaonyatia madem wa watu mnazuga na interview, kumbe ndo Gia ya kuwatongoza kwanza interview zenyewe hamjui mnauliza maswali ya kindezi tu yaan nye darasani ndo wale wanafunz tulikuwa tuwapiga konz na mnatuchekea interview Za kishamba waachen wtt wazur hawana time na nyie washamba kwanza msela unasaund km demu mimi nimepga vidato Sita na mwaka uu natimba chuo ila we sijui wa kujiita muosha sufiria na uyo boya konor anamsumbua demi achen ushamba
Mi ndo mzee Wa mavurugu waulize God na Jose ndo wananielewa nikishawaka mahasira ndo utaacha shobokea madem Za watu kuwafanyie interview wengine sio madem zangu
Nigger iam crazy in love with my Angel's find your own girls
Wa kishua
Dogo kasome prep!! Utafeli paper ya darasa la saba next month!Conor ni zero km wewe tafuten madem kwa sound msipende kitonga afu nawataman kinyama tuzichape tuone nan mbabe
Wa kishua