Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Ndemla anapiga mashuti huku amefumba machoHata striker nazo hazina makar ndugu ..kaz kukosa magoli ya waz tu
Kocha hapimwi kwa kosakosa, hupimwa kwa ushindi. Kama ni kosakosa hata wakati wa Omog zilikuwapo. Lakini tatizo la Simba si kocha wala wachezaji. Tatizo la Simba ni Simba. Pale ni kama jikoni kwa Watanzania fulani wenye asili ya bara fulani. Kila mwanafamilia ana mkono wake kwenye chakula kinachopikwa. Mmoja akiongeza pilipili mwengine anaongeza kitunguu, mwengine kochimiri, mwengine giligilani ........! Fikiria ladha ya mwisho ya hicho chakula! Ndiyo Simba. Huyu anamwondoa Mayanja. Yule anamleta Masoud Juma. Huyu anasema Omog aondoke. Huyu anamkabidhi Masoud Juma ukocha Mkuu, unaomruhusu kuja na mfumo mpya katikati ya Ligi. Kwenye usajili ndiyo hivyohivyo. Huyu anadhani kunahitajika majina. Anayaleta. Yule anadhani kunahitajika wachezaji wa kigeni. Huyu anamleta Mavugo, yule anamleta Blagnon. Mwengine anasema wote hawafai. Analetwa Asamoah. Bado kuna mwengine a naona hafai. Mlete Kwasi. ....... Hao wote katika vipindi vifupivifupi. Kama chakula jikoni kwa ile jamii, timu hiyo itakuwaje?Wee unadhani Azam ni timu ya kitoto? wewe unafikiri tu kila timu ikiingia uwanjani lazima ishinde? kwa taarifa yako kocha hana nafasi yoyote huwa ni symbol of unity kwenye timu tuu vingine ni longolongo tuu. Vipaji vya wachezaji ndio vina matter. Hakuna mchezaji aliyezalia kuwa striker, aliamua tuu siku moja kuwa awe striker lakini sii kwamba hawezi kucheza sehemu nyingine, ndio maana akina roberto carlos ni mabeki lakini kwenye list ya wafungaji bora walikuwepo. Brother mmewahiwa tuu na sii kwamba ni kocha , mbona wamekosa kosa nyinyi kwani na hizo kocha anahusika? mabao yote waliokosakosa hao mkia fc wangefunga ungeongea unachoongea sasa? Kati ya watu ambaop hula ujiko wa bure pale timu inaposhinda au lawama pale inaposhindwa ni kocha ila hawana lolote kwani hata timu ikienda bila kocha yoyote kama ina wachezaji wenye vipaji vya asili watashinda tuu.
Alitia mimba lini wakati alikuwa tizee. Anasubiri kupima DnaOkwi anasubiri mke wake ajifungue ndo arudi bongo
Mwache huyo sio mchezaji tu bali ana hisa pale Simba, na ni moja kati ya Wakurugenzi wa timu.Hivi okwi amecheza mechi ngapi na kila mwezi analipwa mshahara. Yuko wapi?