Onyo kwa mods: Komeni mara moja kufuta nyuzi zenye mafundisho

Onyo kwa mods: Komeni mara moja kufuta nyuzi zenye mafundisho

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Leo secretarybird ameachia uzi wenye mafundisho murua juu ya baba wa kambo .
Lakini kama kawaida mmekua wenye kiherehere na kihoro cha kufuta Kila mara nyuzi zenye mafundisho maridhawa zinaporindima hapa jukwaani.

Sasa napenda niwaonye huku nikiwapa muda wa kujitafakari. Tusipangiane vya kuposti katika hili jukwaa huru. Na kama nyuzi zinawakera basi nyie mods mjitokeze na kueleza hisia zenu hadharani .Ili tujue upande mnao simamia na itakapobidi tutawaunganisha na nyie nyuzini kisha tuwapelekee moto bila Kikomo.
 

Attachments

  • img_2_1790779653158.jpg
    img_2_1790779653158.jpg
    107 KB · Views: 8
Leo secretarybird ameachia uzi wenye mafundisho murua juu ya baba wa kambo .
Lakini kama kawaida mmekua wenye kiherehere na kihoro cha kufuta Kila mara nyuzi zenye mafundisho maridhawa zinaporindima hapa jukwaani.

Sasa napenda niwaonye huku nikiwapa muda wa kujitafakari. Tusipangiane vya kuposti katika hili jukwaa huru. Na kama nyuzi zinawakera basi nyie mods mjitokeze na kueleza hisia zenu hadharani .Ili tujue upande mnao simamia na itakapobidi tutawaunganisha na nyie kisha tuwapelekee moto bila Kikomo.
Badala ya comments chafu kufutwa Uzi murua na wennya manufaa unafutwa.
 
Huenda mmoja ni baba wa kambo na tabia ulizozitaja anaziishi au ni victim wa baba wa kambo.

Nimeupitia huo uzi, haukuwa na shida yoyote.
 
Huenda mmoja ni baba wa kambo na tabia ulizozitaja anaziishi au ni victim wa baba wa kambo.

Nimeupitia huo uzi, haukuwa na shida yoyote.
Mods wengi humu ni baba wa kambo na wasimbe wenye sura ngumu .Na ndio mana Kila hizi mada zinaporuka hapa jukwaani wao hugeuka mbogo na kuanza fungia fungia ya member na ufutaji holela wa nyuzi. Zey bera wochi zea baki
 
Back
Top Bottom