mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Badala ya comments chafu kufutwa Uzi murua na wennya manufaa unafutwa.Leo secretarybird ameachia uzi wenye mafundisho murua juu ya baba wa kambo .
Lakini kama kawaida mmekua wenye kiherehere na kihoro cha kufuta Kila mara nyuzi zenye mafundisho maridhawa zinaporindima hapa jukwaani.
Sasa napenda niwaonye huku nikiwapa muda wa kujitafakari. Tusipangiane vya kuposti katika hili jukwaa huru. Na kama nyuzi zinawakera basi nyie mods mjitokeze na kueleza hisia zenu hadharani .Ili tujue upande mnao simamia na itakapobidi tutawaunganisha na nyie kisha tuwapelekee moto bila Kikomo.
Wanashangaza sanaAjabu nyuzi za upuuzi ndy zinapewa airtime jukwani..
Badala ya comments chafu kufutwa Uzi murua na wennya manufaa unafutwa.
Weledi zero, hatuwezi kuendelea kuoneana aibu hapa jukwaani , Kila member mwenye walakini lazima ataguswa na nyuzi hizi zenye mafundishoBadala ya comments chafu kufutwa Uzi murua na wennya manufaa unafutwa.
Yeah, wale vijana walioshindwa kulinda migongo yao lazima waguswe kwa namna hasi na nyuzi hizi murua tunazozileta humu.Weledi zero, hatuwezi kuendelea kuoneana aibu hapa jukwaani , Kila member walakini lazima ataguswa na nyuzi hizi zenye mafundisho
Mods wengi humu ni baba wa kambo na wasimbe wenye sura ngumu .Na ndio mana Kila hizi mada zinaporuka hapa jukwaani wao hugeuka mbogo na kuanza fungia fungia ya member na ufutaji holela wa nyuzi. Zey bera wochi zea bakiHuenda mmoja ni baba wa kambo na tabia ulizozitaja anaziishi au ni victim wa baba wa kambo.
Nimeupitia huo uzi, haukuwa na shida yoyote.