Onyo la kistaarabu dhidi ya uhusiano wa Tanzania na Israel

diplomasia yetu ya sasa ni uchumi hao ugomvi wa Palestina na Israel hautuhusu.Tumetumia rasilimali nyingi kusaidia ukombozi kusini mwa afrika leo hii tumepata nini kwani nchi tulizosaidia zimetuacha mbali kiuchumi wakati zinasonga mbele sisi tunarudi nyuma.Wakati tunapigana na Uganda Israel walikataa kumsaidia Idi Amini lakini wapalestina walitoa wanajeshi wake ili Uganda itupige kwa sababu tu Idi Amini alikuwa Adui Wa Israel.Hakuna mtu wa kutuchagulia rafiki wapambane na hali yao
 
Hizi sio zama za kuchagua marafiki kwa sababu ya siasa zao za ndani. Kama watu wanayo maarifa yenye kuweza kubadilisha hali yetu kiuchumi, kwanini eti tuangalie wanahusianaje na wanaowazunguka.

Hakuna mkamilifu chini ya jua, wote tumeumbwa na udhaifu wa aina moja au nyingine. Nguvu ya ubinadamu ndio ya muhimu zaidi kuliko kubakia kwenye kuuonyoshea vidole udhaifu wa mtu au nchi fulani.
 
Nimesoma na
Nimesoma na sijaona uwezekano wa tishio lolote lile la usalama. Tanzania ilikuwa na uhusiano na isreal na ulivunjika baada ya yom kippur war kama vile nchi nyingine nyingi zilivyofanya. Kama kuna nchi ambayo inapaswa kuwa na wasiwasi ni saudi arabia na egypt.
MY TAKE:Kuna wakati mahusiano mazuri na hasimu yanaweza kusaidia kupoza mambo
 
Mambo ya diplomasia kuna wakati kunakuwa na unafiki hata kama humpendi inabidii umchekee na kumsifia ili upate unachotaka kwake
 
do you mean The Citizens Paper are the Propaganda Cooks? they are one who reported it.
Who knows?? I think the intent is to hookup the abductions that were fore reported that the abductors weren't from our ethnic group! Pangs matofari you will understand the real intentions!!
 
Sehemu kubwa ya israel ni jangwa lkn inafanya vzr sana kwny kilimo cha matunda na mboga kwa kutumia teknolojia na utaalamu wa hali ya juu, na inauza nje bidhaa hizo kwa wingi.

Sisi tuna ardhi nzuri na mito mingi, lkn hatuna utalaamu wala teknolojia ya kuzalisha kwa tija kubwa.. Hili ndo suala la kujadili. Diplomasia ya siasa tupu imepitwa na wakati. Hizi ni zama za economic diplomacy, na ndo maana Saudia, misri, nk wana mahusiano mazuri na israel.

Mkono mtupu haulambwi na mbwa!
 
Waarabu washenzi, watupilie kwa mbali wauza watu hao!!! Israel wana heshima bana wananunua mtu lkn wanamjali kwa Elimu, kula, malazi safi !! kifupi wana utu.

Walisharipiua Ubalozi wa USA Nairobi na DSM, wafanye ubaya mara ngapi? tuondeleeni taka uozo hizo kwanz awamechelewa sana.
 
Palestine ndio kenge gani akapambane na myahudi huko asituletee upumbavu wake huyo balozi
 
Kumbe kama nchi tulitakiwa tufanyeje mkuu!?
Mambo yao hayatuhusu na sisi kama Taifa huru tuna uwezo wa kuchagua tushirikiane na nani kwa faida ya Taifa letu na sio kuangalia maslahi ya nchi nyingine.
Hizi siasa zikifuatiliwa sana huwa zinakwamisha nchi kuweza kupiga hatua.

Nico Njohole ilikuwa akachezee Arsenal miaka ile ya 1980 mwanzoni lakini FAT ikamkatalia kwa kigezo cha masuala ya kisiasa.

Leo hii Tanzania ingekuwa na wachezaji wengi tu waliowahi kucheza soka Uingereza kama Nico angepata kibali, hizo siasa za kijamaa zilitukwamisha.

Hivyo kuanza kuitazama Israel kwa kuwaangalia maadui zao ni kujinyima sisi wenyewe fursa za kiuchumi.
 
Hawa waarabu wana uhusiano hadi wanaweza kuoana na wayahudi.
Misri,Lebanon, Sudan,Turkey,Bahrain na UAE wana hadi ubalozi na Israel.
Morocco na Saudia Arabia,japo hawana balozi Israel lakini wana uhusiano mkubwa wa kijeshi kijasusi,kilimo na kibiashara.
Arab spring ilitokana na undumila kuwili wa watawala wa nchi za kiarabu.Wananchi waliwachoka kwa kutumia kisingizio cha kuikomboa Palestina,ili kuficha mapungufu katika tawala zao.
Wapalestina hao hao tuliowaunga mkono tokea enzi za Baba wa taifa,walishangilia kwa ndelemo balozi za Marekani zilizo Dar-es-salaam na Nairobi zilivyoshambuliwa kwa mabomu na kuuwa mamia raia wa nchi hizi.
Palestine pambana na rushwa,mifarakano ndani ya taifa lenu na serikali yenu.
 
Mkuu toka enzi za mwalimu inafaamika kuwa,tanzania inafuata sera za kutofungamana na upande wowote.
Ifahamike kuwa pamoja na kwamba nchi yetu ilifuata mfumo wa ujamaa na kujitegemea ambao uliendana na mtizamo wa urusi
na uchina na Urusi ilikuwa na vita baridi na Marekani bado tulidumisha urafiki na mataifa haya hasimu na hatukuathirika.

Natamani sisi kama nchi ,tusichaguliwe na mtu yeyote rafiki au adui.
Kama kuna jambo baya Israel imeifanyia tanzania ndo tulijadili lakini si kwa kufuata sera za wapalestina.
 
20 Oct 2020

Saeb Erekat Israeli hospital controversy - Amb. Dr. Alon Liel​

Chief Palestinian Negotiator Saeb #Erekat hospitalized in Israel stirring controversy on all sides. Amb. Dr. Alon Liel | Int’l Diplomacy Expert, TAU
Source : ILTV Israel News
 
Dubai: Chief Palestinian negotiator Saeb Erekat is critically ill with coronavirus at Jerusalem’s Hadassah Ein Karem Medical Centre.
The 65-year-old top Palestinian leader was placed on a ventilator earlier today as he was in critical condition. He tested positive for the novel coronavirus earlier this month.
Erekat was rushed from West Bank home to hospital in Tel Aviv on Sunday, then transferred to Jerusalem’s Hadassah Ein Karem Medical Centre.
He had a history of respiratory illness and underwent a lung transplant in 2017. Erekat is also fighting a bacterial infection, according to officials at the hospital said.
His daughter tweeted late Sunday that her father was stable in a coronary care unit, where he was receiving heavy flows of oxygen. His condition then worsened overnight, the hospital said.
 

Sudan says it will discuss trade, migration with Israel​

By Samy Magdy | AP
October 25, 2020 at 1:30 PM EDT
CAIRO — Sudanese and Israeli officials will meet in the coming weeks to discuss a package of cooperation deals to “achieve the mutual interests of the two peoples,” Sudan’s Foreign Ministry said Sunday.

The ministry statement came three days after President Donald Trump announced that Sudan would start normalizing ties with Israel. The statement said the deals would cover agriculture, trade, aviation and migration, but did not provide details on the timing or location of the meetings.
Ofir Gendelman, a spokesman for Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu, tweeted Sunday saying that Israel was “sending $5 million worth of wheat immediately to our new friends” in Sudan. READ MORE : https://www.washingtonpost.com/worl...scuss-trade-migration-with-israel/2020/10/25/
 
Siasa ilimkwamisha vipi Nicodemus Njohole kucheza Arsenal??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…