ONYO LA USALAMA WA TAIFA: Bei ya Chakula ni Bomu Linalosubiri Kulipuka Tanzania

PESA ZIPO WAPI IN TANZANIA

Mkulima Paul Muema dunia imebadilika lazima tubadilike wakulima, pesa zipo ..

View: https://m.youtube.com/watch?v=4LGyhCgNQp8Madalali wa mazao, soko, geopolitics, afya ya udongo, simu janja na taarifa za hali ya hewa, wateja wa mazao n.k
Dr. Kingori (Fe JSiaya)
 
U Uko vzur sana!! Lakini nani atakusikiliza sasa? Kila mtu anatafuta upenyo wa kula ili ale vzur ashibe!! Sasahiv tunaishi kwa Law of the jungle!! Pia ni transition stage tuu, kwenda somewhere
 
Prime minister yupo bize na chadema na guys guys
 
Mkuu mbona bado subilia mwakani kwani mwaka huu

Wakulima wameuziwa mbegu feki
Mbolea feki kwaiyo uzalishaji wa chakula utakuwa mdogo kupita mda wote yule waziri wa kilimo sijui alikuwa na lengo gani na nchi hii wakulima wanalia mbolea feki,.mbegu feki mkulima analima vizuri anapanda mazao yanaota ovyo ovyo tu anaweka mbolewa wiki moja mmea unaanza poteza nuru unaanza kuoza

Watu walikuwa wanajali maslahi yao si watanzania
 
Hali ikiwa mbaya, hata machawa wataingia road.
 
Akili hizi ndio zinahitajika TISS kwenye idara ya uchumi sio uchawa tu.
 
Umeandika kwa akili kubwa na uzalendo wa hali ya juu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…