Onyo: Wakileta siasa uwanjani, tutaombea timu za Tanzania zifungwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo.

Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya Wanasiasa , hatutakubali picha ya Mbunge wa Temeke wala Diwani wa kata ya miburani.

Ukiwa na kiherehere cha kubeba bango basi ni vema uwe na picha za wachezaji wetu na makocha wao tu , atakayekaidi wito huu atabeba lawama, maana haraka sana tutageuka na kuwashangilia wageni

Tusilaumiane.
 
Naunga mkono hoja
 
Uzuri kwenye soka hakunaga kuombeana mabaya wala mazuri, bidii na bahati yako ndio itakubeba.
 
Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo.

Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya Wanasiasa , hatutakubali picha ya Mbunge wa Temeke wala Diwani wa kata ya miburani.

Ukiwa na kiherehere cha kubeba bango basi ni vema uwe na picha za wachezaji wetu na makocha wao tu , atakayekaidi wito huu atabeba lawama, maana haraka sana tutageuka na kuwashangilia wageni

Tusilaumiane.
kwa msisitizo zaidi hatutaki ujinga
 
Najiulizaga wanapitaga nayo wapi yale mabango? Na kwanini camera za azam zinawatafuta na kuwaonesha?
Khs Azam kwao ile n faida, ishu inabaki kwa hao mashabiki waliobeba mabango
 
Back
Top Bottom