Onyo: Wanasiasa kuwa makini, ukidharauliwa hapa JF tambua kwamba umedharauliwa mitaani na dunia nzima. JF ina nguvu sana

Hili ni onyo ninalolielekeza kwa wanasiasa wenzangu , na hasa wale wenye wito na maono ya kugombea ubunge , Udiwani na Urais kama mimi .

Andikeni ukweli na haki bila kutumikishwa kwa gharama ndogo au kubwa ili kujijengea heshima mbele ya jamii , Kwa sasa jf ndio pahala panapotumika na wananchi karibu wote kabisa kuchuja pumba na mchele, ndio mahali pekee pa kuaminika pa kuchota habari zote zinazohusu viongozi na wagombea watarajiwa, hizi ni taarifa ambazo tumezikusanya baada ya kufanya ziara ya kitafiti kwenye vijiji zaidi ya 10 vya wilaya ya Kyela ikiwemo, Kilasilo, Njugilo, Lubele, Isaki, Kabanga, Makware, Ngonga, Kajunjumele, Katumba Songwe, Kabanga, Kapwili na Itunge.

Kuweni makini sana, ukiandika pumba ili kumfurahisha anayekulipa wananchi watakupuuza vibaya sana.
Good news, watumiaji wengi wa JF ukiwemo wewe Erythrocyte tunatumia ID fake. Ni rahisi kukana baadhi ya maandishi uliyowahi kuchapisha humu endapo mtazamo na msimamo wako vitabadilika. So relax brother, let's pour out our subconscious and talk openly. Usifungwe na Wakati.
 
ninagombea ubunge na ID hii itatumika kunitaja kwa majina yote bila uoga wowote , rudia kusoma uzi
 
Endelea na mawazo mgando
Ndio maana jamaa yetu Mmawia anashinda humu JF kwa imani hiyo kama yako!. Bado Tz haijafika huko, unfortunately. Kutegemea siasa za mitandao kitawanukia kibaya Nov zaidi ya mpira unaoungua.
 
Hili ni onyo ninalolielekeza kwa wanasiasa wenzangu , na hasa wale wenye wito na maono ya kugombea ubunge , Udiwani na Urais kama mimi .

Andikeni ukweli na haki bila kutumikishwa kwa gharama ndogo au kubwa ili kujijengea heshima mbele ya jamii , Kwa sasa jf ndio pahala panapotumika na wananchi karibu wote kabisa kuchuja pumba na mchele, ndio mahali pekee pa kuaminika pa kuchota habari zote zinazohusu viongozi na wagombea watarajiwa, hizi ni taarifa ambazo tumezikusanya baada ya kufanya ziara ya kitafiti kwenye vijiji zaidi ya 10 vya wilaya ya Kyela ikiwemo, Kilasilo, Njugilo, Lubele, Isaki, Kabanga, Makware, Ngonga, Kajunjumele, Katumba Songwe, Kabanga, Kapwili na Itunge.

Kuweni makini sana, ukiandika pumba ili kumfurahisha anayekulipa wananchi watakupuuza vibaya sana.
Haujafafanua vizuri mlifanya tafiti JF kama chombo kinachotumika kupata maoni na taarifa? Au Mwana Jf akiandika pumba anapuuzwa? Isije kale ka mkutano kule Hai ndio motive ya ujumbe wako(mbunge kuonekana anazomewa)
 
niko Katumba hapa, mbona sijakuona, ukae ukijua Watanzania asilimia 16% pekee, ndio wenye access na internet. asilimia 84% hawajui hata internet ni mdudu gani, hapa jf haiwafikii hata watu laki tatu.
Boss umesahau kunena jambo katika hiyo 16% wangapi wanaitumia JF vile?😝😝
 
Chadema siku hizi welevi wa mambo hata hamna amebaki lema na ndoto zake, ona huyu aliyeleta Uzi hapa uko ufipa ndo kichwa chai. Naunga mkono Nccr kuwa chama kikuu cha upinzani I hope ile downfall waliyoipataga imewafunza
 
Awamu hii tutashuhudia tafiti nyingi Sana zenye kutuhakikishia ushindi.
 
We jamaa una matatizo gani..!??
JF tunakutanishwa na uwezo wa watu kumiliki smartphone tu. Kuna diversity ya ajabu na ya hatari humu ndani.
Kuanzia Professors, watu kama kina Pasco Mayala, wataalamu wabaobezi kwenye fani tofauti, kuna watu ambao ni highly placed and connected,wakereketwa na wafurukutwa, tupo ambao ni semi illiterate kama mimi.
So humu kuna post za maana na za hovyo sana, hasa ukichanganya na hizi FAKE ID's kama yangu.
Kifupi JF imepoteza mwelekeo, ni ⅓ ya content ndio relevant, ⅛ ya coments ndio relevant.
Kama tunayoandika humu yangekuwa yanareflect jamii basi LOWASA angekuwa RAIS.
JPM angeambulia 30% ya votes coming election.
Ukweli ni kwamba kilichoko mtaani sicho kinachoakisiwa humu JF hususan kwenye nyanja ya kisiasa.
Its totally, fanatically rubbish

Hili ni onyo ninalolielekeza kwa wanasiasa wenzangu , na hasa wale wenye wito na maono ya kugombea ubunge , Udiwani na Urais kama mimi .

Andikeni ukweli na haki bila kutumikishwa kwa gharama ndogo au kubwa ili kujijengea heshima mbele ya jamii , Kwa sasa jf ndio pahala panapotumika na wananchi karibu wote kabisa kuchuja pumba na mchele, ndio mahali pekee pa kuaminika pa kuchota habari zote zinazohusu viongozi na wagombea watarajiwa, hizi ni taarifa ambazo tumezikusanya baada ya kufanya ziara ya kitafiti kwenye vijiji zaidi ya 10 vya wilaya ya Kyela ikiwemo, Kilasilo, Njugilo, Lubele, Isaki, Kabanga, Makware, Ngonga, Kajunjumele, Katumba Songwe, Kabanga, Kapwili na Itunge.

Kuweni makini sana, ukiandika pumba ili kumfurahisha anayekulipa wananchi watakupuuza vibaya sana.
 
We jamaa una matatizo gani..!??
JF tunakutanishwa na uwezo wa watu kumiliki smartphone tu. Kuna diversity ya ajabu na ya hatari humu ndani.
Kuanzia Professors, watu kama kina Pasco Mayala, wataalamu wabaobezi kwenye fani tofauti, kuna watu ambao ni highly placed and connected,wakereketwa na wafurukutwa, tupo ambao ni semi illiterate kama mimi.
So humu kuna post za maana na za hovyo sana, hasa ukichanganya na hizi FAKE ID's kama yangu.
Kifupi JF imepoteza mwelekeo, ni ⅓ ya content ndio relevant, ⅛ ya coments ndio relevant.
Kama tunayoandika humu yangekuwa yanareflect jamii basi LOWASA angekuwa RAIS.
JPM angeambulia 30% ya votes coming election.
Ukweli ni kwamba kilichoko mtaani sicho kinachoakisiwa humu JF hususan kwenye nyanja ya kisiasa.
Its totally, fanatically rubbish
Kwani Lowassa alishindwa urais ?
 
Back
Top Bottom