Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni jambo zuri alilolifanya Rais, lakini hakuna haja ya kubeba mabango.Natoa Angalizo hili mapema ili tusije kulaumiana , hayo mabango yenu yaishie kwenye hizo Jogging zenu za Mbagala , kkileta ujinga huo uwanjani tunashangilia USM Alger , Potelea mbali .
Rais kutoa hela za kusaidia michezo , kununua magoli au tiketi haimaanishi kuwa hela zinazotumika ni zake binafsi , msijitoe ufahamu .
Chezeni game yenu kistaarabu mtaungwa mkono , kubeba mabango yasiyohusika na michezo hata FIFA ilishakataza , Kwanza mliona Nchi gani inafanya hayo madudu yenu ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Jaribuni muoneTutolee upuuzi wako, kama mwenyekiti wako anatembelea ikulu kila siku na anatangaza mabango ya CCM Kwanini uzuie wengine?. Chadema imekuwa na wapuuzi wengi sana.
Sasa mtu kalipiwa ticket kwanini asibebe bango.
Wela nyama utaona...
Wewe kinakuuma nini?, Mbona shabalala anabeda masado ya sabuni hamsemi?.Acheni utumwa wa fikra bango abebe mwenyekiti mwenyewe Ni Aibu kuleta siasa ndani ya uwanja
AahhaaaaaaSasa mtu kalipiwa ticket kwanini asibebe bango.
Kwahiyo wakifanya utafanyeje
Huyo Ally Kamwe atawaponzaSiSI KAMA YANGA SC HATUTAKI MAMLUKI.
HATUTAKI MAMBO YA UZALENDO.
UZALENDO UPELEKENI TAIFA STARS,, SISI TUNAJITOSHA.