Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
damu za watu zinawaliliaWalionywa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
damu za watu zinawaliliaWalionywa sana
nyingi sanaKwani walibeba?
Wamepigwa Na Kijanisha Yao Kivumbi Na Jasho, WamechakaaUnatenganishaje Yanga na CCM?
Hao ni identical twins ona hadi sare wana shea
Tayari Amewaponza Atajutia Mno
waarabu wamewafanyaje vilee?Mabango tutabeba na hakuna cha kutufanya
Leta ushahidinyingi sana
Mkuu uko wapi wewe ?Leta ushahidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ofukozi watu wa hivyo hawatakosekana... ukizingatia hapo uwanjani viongozi wengi wa kisiasa watakuwepo... ila kwa vyovyote vile YANGA ni bingwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SiSI KAMA YANGA SC HATUTAKI MAMLUKI.
HATUTAKI MAMBO YA UZALENDO.
UZALENDO UPELEKENI TAIFA STARS,, SISI TUNAJITOSHA.
Na mmefungwaaa kweliiiiiiYaani wakibeba mabango tu tayari tushafungwa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] sasa kurudi nalo sasaWe ndiyo ulishika bango lenye picha ya SSH
OVA
Hawataki uzalendoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ongezaaaaa sautiiiiiiiiiii
Na yamepigwa sasa ni kutembea kichwa chini kama kobeHawataki uzalendoooo
Mji umepoa huoooNa yamepigwa sasa ni kutembea kichwa chini kama kobe
Si ndiooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawataki uzalendoooo