Onyo: Yanga Mkithubutu kubeba mabango ya Mwenyekiti wa CCM kwa Mkapa, Msimlaumu mtu

Onyo: Yanga Mkithubutu kubeba mabango ya Mwenyekiti wa CCM kwa Mkapa, Msimlaumu mtu

Biden na mpira wapi na wapi?mbona mbona husemi Macron akiiacha ikulu akienda kumtia moyo Mbappe??au Biden kwa vile ni basha wako unataka wote tuwe kama ww
Kwani Samia kakatazwa kwenda uwanjani?

Jitahidi kutumia kichwa kufikiria badala ya makalio

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Naona zimevaliea tshirts

Asante mama.

Bila shaka ni ile zawadi ya tiketi
 
Kula chuma ichooooo
Screenshot_20230528-161834.jpg
 
Back
Top Bottom