Onyo: Yanga Mkithubutu kubeba mabango ya Mwenyekiti wa CCM kwa Mkapa, Msimlaumu mtu

ofukozi watu wa hivyo hawatakosekana... ukizingatia hapo uwanjani viongozi wengi wa kisiasa watakuwepo... ila kwa vyovyote vile YANGA ni bingwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
watu walipewa onyo mapemaaa wakapuuza,
Wamekutwqa na jamboooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi mwenzenu timu liwe na uhusiano na ccm sipendagi!!asavali hata skuwa uto na ccm mimi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…