Ooh Landrover, I love you so much

Ooh Landrover, I love you so much

Gari za kazi hizo,ila zinaingiza ndani vumbi hatari hata ufanye nini.
 
Kuendesha manual sio kutokuwa ktk wakati...watu wavivu hata kukaa huwa wanaona taabu/uvivu...iko hivyo kwa wasiojua au kupenda stick transmission pia...a man like me kuendesha auto car ni kashfa nzito
Real men drive three pedals
 
Back
Top Bottom