Mama Mchungaji
Member
- Sep 4, 2009
- 23
- 0
my dear kwa lolote ambalo mke/mume kafanya, si haki wala si ustaarabu kumpiga mwenzako, kumfukuza kwenye nyumba yenu, tena si mke /mume tu hasa watoto ambao hata hawajui chanzo cha mzozo wenu, kwa ufupi huyo mwanamume anamatatizo makubwa, hayo ya kupekuliwa na mume kayafanya kama mwanzo wa sentensi tu ili apate pa kuanzia kumfukuza huyo mke, lakini laiti tungeingia moyoni mwake tungegundua kuwa mapenzi yalishaisha kitambo imebaki mazoea tu na yale mambo ya kiapo cha 'mpaka kifo kitutenganishe' I WISH NINGEKUWA NA UWEZO WA KUBADILI CLAUSE HII isomeke 'MPAKA MAPENZI YATAKAPOFIKA MWISHO"FirstLady1!!!hebu try to check out na upande wa pili wa shilingi!!usije kutoa lawama kabla hujajua mr anasemaje!!huenda ukimsikia mr. utamfukuza hata huyo friend wako,kuwa mvumilivu kidogo kabla ya kutumwagia lawama!!
FL1,
Hii issue ni inauma sana n a inakela mno! Ufikapo hm na kujaribu kulonga na mume wa huyo dada just kuwa makini sana maana huyo bwana akili zake ziko fyatu kimtindo, na ujaribu kuchunguza kama jamaa kaisha pata chupa zake mmoja mbili hivi just dont go asije kuharibia usingizi wako bureeeee!
Je huyo baba anafanya kazi?
kwanza topic lazi uianzishe na iwe ime base kwa watoto kwanza then issue ya yeye na mkewe ndio utaichomekea hapo kati kati ya maongezi.
Na ulisema muda flani ati rafikio huyo anataka kwenda Police? its oky lakini je ustawi wa jamii nako alisha kwendaaa kujieleza hayo matatizo? alafu kuna wakina mama wengine huenda hata kushitaki kwa mabosi wa waume zao kama wameleteana noma home.
Thanks Bujibuji je nini cha kumsaidia huyu dada kafunga ndoa halali ua Kikristo
...mid-life crisis,
Tatizo la jamii zetu za kiafrika mwanaume unatakiwa 24/7 upambane na matatizo yako mwenyewe kisaikolojia. Hakuna kulia lia, kushtaki wala kulalamika maisha yanapokukalia kooni...
Ukijumlisha hayo na manung'uniko na lawama za kila siku toka kwa mama watoto unajikuta siku unaripukwa kama hivyo.
Namlaumu huyo mheshimiwa kukosa busara kiasi cha kuwakurupusha wanafamilia wote usiku wa manane, lakini pia namlaumu mama mwenye nyumba kukosa busara ya kusubiria mzee mwenye nyumba apoe hasira ndipo aanze kuongea nae kiutu uzima.
Wakati umefika kuanzishwe vituo kwa wanandoa kwenda kupata counselling, maana kuna matatizo mengine yanachangiwa kwa kiwango kikubwa na umasikini tulionao + pressure za kazi na majukumu ya familia.
........Bujibuji wanaume mnabadilika nyie kama kinyonga vile, hata ukimchunguza mwanaume miaka 10 eti ndio uolewe ni kazi bure. Miezi 6 tu inatosha kujua tabia ya mpenzi wako kama muda mwingi mpo pamoja.Ndoa ndoano.
Wanawake huwa wanakosea,
wanakuwa na haraka sana ya kuolewa na kusahau kumchunguza vyema mumewe mtarajiwa.
Hata akigundua tabia mbaya za huyo mwanamume husema moyoni mwake kuwa atamrekebisha, kitu ambacho hata wazazi wa mwanaume wameshindwa kuzirekebisha tabia mbaya hizo.
matokeo yake ni kwamba baada ya raha za muda mfupi wa ndoa mateso na dhuluma huanza.
Ila familia bora ni ile yenye hofu ya Mungu.
mkiwa mnatafuta watu wa kuwaoeni, tafuteni wale ambao wanamtegemea Mungu na kufuata neno lake.
........Bujibuji wanaume mnabadilika nyie kama kinyonga vile, hata ukimchunguza mwanaume miaka 10 eti ndio uolewe ni kazi bure. Miezi 6 tu inatosha kujua tabia ya mpenzi wako kama muda mwingi mpo pamoja.
Sasa kama wanaume wanabadilika kama vinyonga mtajuaje tabia zao ktk muda wa miezi 6 tu achilia mbali kujua tabia zao hata ipite miaka?
.......Kujua tabia ya mtu kazi sana, kama umeridhika na mtu jitose tu kwenye ndoa mkishindwana kila mtu kivyake.
Do it with caution though maana hii ilisha wa cost wenzio sana.Kuna mama mmoja miaka mingi kidogo alimhifadhi shoga yake aliyekuwa na matatizo kama haya. Hifadhi hiyo ilidumu kipindi cha kutosha.Kumbe baada y muda chemistry baina ya mkimbizi na baba mwenye nyumba zikaendana..... you can guess the end of the story.....Yale yaleee...sijui kama yataisha anytime soon FL1! Pole mkaribishe mwanamke mwenzio mpe chakula na mavazi ili sipungukiwe kitu kwa sasa na Mungu atakuongezea apo ulipopunguza.
Do it with caution though maana hii ilisha wa cost wenzio sana.Kuna mama mmoja miaka mingi kidogo alimhifadhi shoga yake aliyekuwa na matatizo kama haya. Hifadhi hiyo ilidumu kipindi cha kutosha.Kumbe baada y muda chemistry baina ya mkimbizi na baba mwenye nyumba zikaendana..... you can guess the end of the story.....
Kwavile mama mwenye nyumba alionesha kumjali rafiki kwa chakula,mavazi na hifadhi basi hata baba mwenye nyumba huenda aliona si vema kumtenga mkewe ndo maana naye akaona ni vema akasaidia kwa kiasi flani ili kudumisha ushirikiano.Do it with caution though maana hii ilisha wa cost wenzio sana.Kuna mama mmoja miaka mingi kidogo alimhifadhi shoga yake aliyekuwa na matatizo kama haya. Hifadhi hiyo ilidumu kipindi cha kutosha.Kumbe baada y muda chemistry baina ya mkimbizi na baba mwenye nyumba zikaendana..... you can guess the end of the story.....
Do it with caution though maana hii ilisha wa cost wenzio sana.Kuna mama mmoja miaka mingi kidogo alimhifadhi shoga yake aliyekuwa na matatizo kama haya. Hifadhi hiyo ilidumu kipindi cha kutosha.Kumbe baada y muda chemistry baina ya mkimbizi na baba mwenye nyumba zikaendana..... you can guess the end of the story.....
Ni mwanamama mwenye watoto watatu 10,yrs 7yrs and 3years
Jana husband wake kamshushia kipigo cha mbwa mwizi na kumfukuza kwake saa saba usiku na wanae na kukimbilia kwangu kisa eti mwanamke anamfata fata sana hataki mkewe aulizie maendeleo ya familia ,hataki mkewe aguse simu yake na pia hataki mkewe amuulize kama hakurudi home alikuwa wapi na kwa nini amechelewa .....Hii ndio maana ya ndoa?
Mie kama mwanamke kwanini machozi yasinitoke .nimewaza na ,nimeumia sana juu ya hili labda inaweza kutokea kwangu pia..
Wanaume kwa nini mnakuwa wakatili hivi??
Hamuoni huruma juu ya watotokwa watoto wadogo wanaohitaji mwongozo wa wazazi ?
kwa nini kuwatesa watoto usiku wa manane na kuwaamsha kama wakimbizi ndani ya nyumba yao ?
Hali hii ya manyanyaso itaisha lini ??
Hivi mapenzi huwa yanaisha kabisa ? yanapungua au yanakuwaje ??
Hivi pale mtu anapoamua kurudi na kukwambia sorry ni Ibilisi alinipitia naomba turudiane wife/husband ni shetani ndo anakuwa ameamua kuyaruddisha?π
Nimetoa report kwa Mtendaji wa mtaa mama wa watu leo ataondoka kwangu lakini hatorudi kwa mme kwani jana alijaribu kwenda na watu wa church wote waliambulia kufukuzwa bila kusikilizwa ..maajabu ya duniani..
Nimeongea na Mme wa mama yule ..alichoniambia kamchoka mwanamama huyo aende anakojua na wanae..yeye ameamua kuoa na wanawake wako wengi..hajanipa chanzo hasa cha kumshushia wife ile kosovo na chechinia ..
Mshangao!!!