Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,501
sina sababu za kumsifia kinafki...huyo demu hanifikii hata chembe...kama vipi ni pm tumeet uone level yangu...ni demu wako nini?
hahahha mbona umemkoma mwenzako hivyo?Hahahahahahaha yaani wewe wa kujilinganisha na Sinta? makubwa
hilo neno 'mtoto sio riziki' nadhani hulifahamu vizuri na huwa halitumiwi kwa wasichana/wanawake.Mtoto si riziki huyu alipata bwana Uganda sasa yupo Dar anaendekeza umaarufu ..hajui una mwisho!
Dah! Msinambi umebanwa! kwa joto la dar lazima utakuwa unatema kiaina!
Alipigwa denda mpaka gari ikagoma kwendaaaa
sina sababu za kumsifia kinafki...huyo demu hanifikii hata chembe...kama vipi ni pm tumeet uone level yangu...ni demu wako nini?
He! ilikuwa wapi hiyo tena?
mzigo huu si ulikuwa wa juma nature? Sasa anao nani?
Wanaume humu JF wanaona amependeza, kumbe ni makeup!