Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Hapa tusimjadili mhudumu wa bar kwani naye ni mwanamke anayo haiba na maumbile yote ya kike na hata mvuto ikiwezekana, ni bora tujadili kuacha mke ndani ukagombee mwanamke mwingine wa nje, inasikitisha hata hivyo Mungu amsamehe huyo marehemu RIP.
In fact bwana Kakuruvi ni kwamba wanaendeleza unyanyapaa wa wahudumu wa bar tu, kama shamba limemshinda kulima ndo ivo kawaachia wengine wamelima 'mazima'!
eti wajameni wahudumu wa bar sio wanawake kamili? kwa nini wananyanyapaliwa...hawana kidude kama wanawwake wengine, hawajui mapenzi? je hawajui usafi? hawajui kuongea? au kosa lao ni vile mfumo wetu wa maisha unawapendelea wachache wanaofaidi keki ya taifa huku wengi wakiishia kuwa wahudumu kwa vile hawana namna ya kufanya?