ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

Hapa tusimjadili mhudumu wa bar kwani naye ni mwanamke anayo haiba na maumbile yote ya kike na hata mvuto ikiwezekana, ni bora tujadili kuacha mke ndani ukagombee mwanamke mwingine wa nje, inasikitisha hata hivyo Mungu amsamehe huyo marehemu RIP.

In fact bwana Kakuruvi ni kwamba wanaendeleza unyanyapaa wa wahudumu wa bar tu, kama shamba limemshinda kulima ndo ivo kawaachia wengine wamelima 'mazima'!

eti wajameni wahudumu wa bar sio wanawake kamili? kwa nini wananyanyapaliwa...hawana kidude kama wanawwake wengine, hawajui mapenzi? je hawajui usafi? hawajui kuongea? au kosa lao ni vile mfumo wetu wa maisha unawapendelea wachache wanaofaidi keki ya taifa huku wengi wakiishia kuwa wahudumu kwa vile hawana namna ya kufanya?
 
Jamani si kweli kwamba mke nae ni chanzo, wanaume wengine basi tu wako hivyo. nina jirani ambae anampenda mkewe mpaka wote tunajua, mke kafunguliwa duka, kanunuliwa gari na hata kitunguu mume anaenda kununua nyumbani hakukosi kitu na siku zote ni mambo sweety ndo jina lake humo ndani kiasi watoto wanamwita mama sweet!
lakini yalikuja ibuka yalojificha yule baba kuna gest amelipia kwa mwezi na hachagui wa kuingia nae huko, je hii nn sasa kama mke alikua na kasoro si angemwambia?

OOOH Mom imenibidi nicheke!inasikitisha lakini mmh..
Tuwafanyie nini mabinamu muachane na hao kina Eliza ???
 
Bht ni ukweli usiopingika hakuna aliyemkamilifu hapa duniani ..
Kila nikiwaza huwa sipati majibu kwenye swala zima la mahusiano

Shost nakuombea kwa mola umpate wako atakayekupenda na wewe kumpenda daima dumu ...
mambo yamekuwa sivyo ndivyo hapa duniani!
i can't imagine

AMEN:
asante sana my dear shostito, bestlady, wifi, n.k
kajisemea JS mtu unafikiria mara mbili mbili, inatisha
ila siku hizi samaki mmoja akioza, unachukua unamtupa nje ili asifanye waliobaki waoze pia.
I still believe there are good men to marry out there
@JS usiogope......
 
msiikirubie zinaa, hakika ya zinaa ni uchafu na njia mbaya kabisa.
unasemaje? uchafu? moyoni, rohoni? au kwenye mwili....................ngono ni uchafu if u come to think of it...especially kama ww ni mtaalamu!!!

samahanini kama nimewakwaza
 
hapa tunaongelea demu wa bar against mke au demu wa nje against mke????

wanawake wengi wanawanyanyapaa mademu wa bar.......I will be back
 
Iweje wewe mwanaume utoke nje ya ndoa wakati umeacha mke ndani??? Kwani huezi kuwa mwaminifu mpaka mwisho wa maisha yako??? Vipi kuhusu yale maagano uliyoyaeka mbele za Mungu kanisani au msikitini au chini ya mti (kwa wale waliooana kimila) kuwa utakuwa kuwa naye tu mpaka mwisho kwa mazuri na mabaya??? Ni kipi hasa mnachofuta huko nje ambacho wake zenu hawana eeeee??????

JS my dear, mtanisamehe mie leo acha tu niwe neutral.....

binadamu si wakamilifu my dear, kuna watu wanatoka nje ya ndoa zao kwa mapungufu ya wenzi wao (mke au mume),
kuna wanaume kwa karaha za wake zao hatamni hata kurudi hm mapema
kuna wanawake kw akutoridhishwa na waume zao wanatembea hata na vijana wadogo kulingana na watoto wao.
ni mapungufu ya pande mbili ambayo hupelekea ndoa kuyumba na kukosa maana kama hivi.

of coz wapo wengine wana hulka chafu tu ya kutaka kuonja onja nje....
 
In fact bwana Kakuruvi ni kwamba wanaendeleza unyanyapaa wa wahudumu wa bar tu, kama shamba limemshinda kulima ndo ivo kawaachia wengine wamelima 'mazima'!

eti wajameni wahudumu wa bar sio wanawake kamili? kwa nini wananyanyapaliwa...hawana kidude kama wanawwake wengine, hawajui mapenzi? je hawajui usafi? hawajui kuongea? au kosa lao ni vile mfumo wetu wa maisha unawapendelea wachache wanaofaidi keki ya taifa huku wengi wakiishia kuwa wahudumu kwa vile hawana namna ya kufanya?

Binamu ni kweli nao ni wanawake tena warembo wa hajan ,,na kazi ya bar ni ajira kama zingine

kuna mmoja ni mrembo sijawahi ona yule binti mtaratibu na anaongea kwa upole umbo lake murua ..Gosh alikuwa anapenda sana kutuhudumia na baba watoto na kila tukifika lazima apewe ka Tip
Nilikuwa namtathimi yule kila nikijicheki na yeye hahahahah habari ndo hiyo..ngoja nikomee hapa hapa
 
Iweje wewe mwanaume utoke nje ya ndoa wakati umeacha mke ndani??? Kwani huezi kuwa mwaminifu mpaka mwisho wa maisha yako??? Vipi kuhusu yale maagano uliyoyaeka mbele za Mungu kanisani au msikitini au chini ya mti (kwa wale waliooana kimila) kuwa utakuwa kuwa naye tu mpaka mwisho kwa mazuri na mabaya??? Ni kipi hasa mnachofuta huko nje ambacho wake zenu hawana eeeee??????
My poor darling sissie!

Subiri zamu yako ifike. Utajua tu. Naogopa kuku overload na material ya NDOA.

Hapo kwenye red: Unajua kitu kinaitwa MILA?
 
Binamu ni kweli nao ni wanawake tena warembo wa hajan ,,na kazi ya bar ni ajira kama zingine

kuna mmoja ni mrembo sijawahi ona yule binti mtaratibu na anaongea kwa upole umbo lake murua ..Gosh alikuwa anapenda sana kutuhudumia na baba watoto na kila tukifika lazima apewe ka Tip
Nilikuwa namtathimi yule kila nikijicheki na yeye hahahahah habari ndo hiyo..ngoja nikomee hapa hapa
FL1 nimekugongea nini pale?

Hapo kwenye red unakamatia THANKS kwa hapa kwa heshima ya ELIZAZZZZ
 
hapa tunaongelea demu wa bar against mke au demu wa nje against mke????

wanawake wengi wanawanyanyapaa mademu wa bar.......I will be back
kweli komrade maana kuna visa vingi tu vya jamaa kudedishwa kwa ajili ya wake za watu lakini hii imepewa attention sana kisa ni Bar maid!!
 
Iweje wewe mwanaume utoke nje ya ndoa wakati umeacha mke ndani??? Kwani huezi kuwa mwaminifu mpaka mwisho wa maisha yako??? Vipi kuhusu yale maagano uliyoyaeka mbele za Mungu kanisani au msikitini au chini ya mti (kwa wale waliooana kimila) kuwa utakuwa kuwa naye tu mpaka mwisho kwa mazuri na mabaya??? Ni kipi hasa mnachofuta huko nje ambacho wake zenu hawana eeeee??????

JS mdogo wangu, unaongea kinadharia ama kivitendo zaidi?
 
AMEN:
asante sana my dear shostito, bestlady, wifi, n.k
kajisemea JS mtu unafikiria mara mbili mbili, inatisha
ila siku hizi samaki mmoja akioza, unachukua unamtupa nje ili asifanye waliobaki waoze pia.
I still believe there are good men to marry out there
@JS usiogope......

I like this kamata redbull moja..najua therengeti therengeti haipandi
 
Ni jambo la kawaida sana walevi kuchukua ma bar maid.
Ukweli ni kwamba hakuna m2 asiyependa kitu kizuri. Kila bia unayoongeza bar. Barmaid anazidi kubadilika uzuri. Ukishapiga Tusker zako kumi unaanza kujiuliza kwanini yule mhudumu hakushiriki kwenye mashindano ya miss world.
Hapo unaanza kuchombeza man
Poleni kina mama ambao waume zenu wamegeuza ma bar ndo sehemu ya kupumzikia.
Sorry kama nimemkwaza yeyote
 
JS my dear, mtanisamehe mie leo acha tu niwe neutral.....

binadamu si wakamilifu my dear, kuna watu wanatoka nje ya ndoa zao kwa mapungufu ya wenzi wao (mke au mume),
kuna wanaume kwa karaha za wake zao hatamni hata kurudi hm mapema
kuna wanawake kw akutoridhishwa na waume zao wanatembea hata na vijana wadogo kulingana na watoto wao.
ni mapungufu ya pande mbili ambayo hupelekea ndoa kuyumba na kukosa maana kama hivi.

of coz wapo wengine wana hulka chafu tu ya kutaka kuonja onja nje....

Bht hao wenye hulka chafu hao ya kuonja onja nje ndo nina kesi nao zaidi.
 
As a matter of fact - Bar Maids give it all and does it better!

Percentage kubwa ya wahudumu wa bar ni mahiri sana katika "tendo la ndoa". Either you agree or disagree that is the whole truth. Nadhani they simply do it for financial gain lakini in the process they are actually "sharpening the saw"
 
Msisahau,Mshahara wa Dhambi ni mauti,kile ambacho sio halali hakifanikiwa daima,huo utamu mnaojustify ni wa mda tu,niliangalia show moja wakasema,mara nyingi haya mapenzi ya kuiba kwanini hayadumu ,sio mapenzi ya kweli,baada ya mwaka ,MAPENZI YANAPUNGUA.
 
Back
Top Bottom