ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

My poor darling sissie!

Subiri zamu yako ifike. Utajua tu. Naogopa kuku overload na material ya NDOA.

Hapo kwenye red: Unajua kitu kinaitwa MILA?


hebu nijuze kuhusu mila kwa undani zaidi Big Braza
 
Bht hao wenye hulka chafu hao ya kuonja onja nje ndo nina kesi nao zaidi.

hao ndo wabaya maana nahisi utajuta kuolewa, Mungu apishie mbali

Kivitendo zaidi sijui na kinadharia pia vyotevyote Binamu

hahaaaaa kweli umejichokea duh......
 
OK.nimekusoma, kumbe WALEVI
 

Ahsante Mungu kwa kuwa mimi si mlevi.

Sisi wanywaji huwa hatuna tabia hizo. Ukishakamata maji yako ya kutosha unaangalia direction ya kuelekea home. Jinsi ulivyofika nyumbani inakuwa homework ya asubuhi.

Ila wale ambao si wanywaji: My! My! My!
Wanawake nawaonyeni, msije sema sijawaambia hili:
Hakuna mwanaume hatari kwenye ngono kama mtu asiyetumia kileo.
Mnaruhusiwa kukataa, ila msiseme sijawahi kuwaonyeni!
 
Bht hao wenye hulka chafu hao ya kuonja onja nje ndo nina kesi nao zaidi.

hao ndo wabaya maana nahisi utajuta kuolewa, Mungu apishie mbali......
Mi nadhani kama kweli ulikua serious kumjua mtu kabla ya maamuzi hii haiwezi ikawa ishu....ila kuna kale kamsemo mnacho jifajiri kua ntambadilisha tu!! then inapukua ndivyo sivyo balaa linaanzia hapo!! mara nyingi hii hutokana na kuwa so deep in love!!
 
Msisahau Baba mmoja pia analia kilio cha kusaga meno si mbaba hasa yuko kwenye 30 age baada ya kuondoka kwake na Barmaid na kwends nae sehemu fulani kutumbua maisha baada mwezi anarudi kumbe alikuwa anafanya ngono zembe ..amerudi kaendelea kufanya tendo la ndoa na wife
Sasa kamwambukiza wife HIV wife kila nikimwangalia wife na mmewe moyo unatumbukia nyongo
Mme analia na kujuta lakini jambo limetokea ....na jamaa ameomba msamaha kwa wife

Eeeh mungu naomba utunusuru na haya yote!
Ni mambo tu yaliyoko duniani mungu mwenye rehema atusaidie
 
Barmaid ni mwanamke kama wengine..kuwa kwake barmaid hakumuondolei hadhi ya umwanamke sasa yeye alitaka mumewe afe kwa kumgombea miss tz...ili iweje ? ufahari ama...yeye alie kwa kigezo cha kusalitiwa tu.
 
Kumbe ume-note hiyoooeh!
waache waendelee kutuhukumu tu.
 
hebu nijuze kuhusu mila kwa undani zaidi Big Braza
Hapo sasa tutaelewana.

Somo la kwanza:
UNAAMINI kuwa mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja? Unaruhusiwa kudesa kwa wanyama kama utalazimika kujifunza kupitia nature.
 

Kiblurei hommie tungesemaje? "You have been warned" LOL
 
AK-47

AK-47 has no status.
JF Premium Member
Join Date: Thu Nov 2009
Posts: 31
Thanks: 0
Thanked 4 Times in 1 Post
Rep Power: 0





HEEEE!!!!! Huyu kaibukia wapi tena!!
 
namtafuta cheusimangara mwenye habari zake tafadhari AniPM
 

aaaaaah bwana weeeeeeee!!!!!!!!!!
hili ni jina was supposed to be AKA ya shemeji yetu, namshanga!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…