ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

Kaka ukimwambia bado anakuuliza au anasema kama unaona mie sikuridhishi katafute mwingine hapo utafanyaje?sitetei Ungonoriza lkn wakiwekwa ndani mkuu manjonjo mkiwa wapenzi yanaisha kabisa...ni mengi katika ndoa usiseme hivyo mkuu....
 
its a sad story but only marehemu and bar maid may have all the answers kwa mfiwa na wadau;

infidelity ni tatizo kwa wengi... lakini ni mpaka mauti yakija ndio inakua drama; personally nadhani hili ni case moja ndogo kulinganisha na maambukizi ya kila siku ya ukimwi yanayotokana na ngono zinazofanyika kwa siri...

HUyo jamaa his journey has ended, je sisi tuliobaki vipi? wake kwa waume tuko poa?

vipi kama huyo jamaa angekua anakula miss, au mke wa mtu... would it make him any better??
 
wewe Meku kuna tabia unaweza kujipa moyo mtu atabadilika lakini nyingine naha nah nah........
 
hii ni platinum phrase, mwenye masikio na asikie, mwenye macho na ajionee... ogopa mwanaume anayeshinda nje usiku au hata bar halafu anarudi nyumbani sober, ni soooo sana mazee
 
Then ukishalijua hilo basi inakua hakuna shida...maana kuna mtu kabla hajaolewa kesha kwaruzana na jamaa yake kila mara kuhusu mademu lakini bado tu ataamua kuolewa...then jamaa akiendelea tabia yake inakua ishu!
 
Kiongozi ndo katika kufikiria kuwa akishaingia kwen ndoa kuna miujiza itatokea! kizazi hiki kuna miujiza tena? hata kakobe kashindwa na watu wa mataifa kina tanesco!
 
FL1 mkishaolewa huwa mnapunguza manjolinjo.

Ni kweli kabisaaa.
Wakishaolewa yale walokuwa wakifanya wakti wa uchumba wanaweka kapuni. Watayafanya vipi na mkosi wa kutoolewa ulikwishatoweka.
 
jamani FL1 hujaniona hapa ukaniuliza?😀

Kaizer hahahah kwani wewe ndo umelitunuku nanihiii hehehehehe nicheke mie
haya nambie yuko wapi ?? lile umbo sijaliona leo jamani ...
 
hii ni platinum phrase, mwenye masikio na asikie, mwenye macho na ajionee... ogopa mwanaume anayeshinda nje usiku au hata bar halafu anarudi nyumbani sober, ni soooo sana mazee
Mwenye macho haambiwi tazama kiongozi.

Nadhani ujumbe umewafikia inavyotakiwa. Ngoja nicheki na meneja, jana nilitaabika sana, grants zilikatika katikati ya safari.
 
Ni kweli kabisaaa.
Wakishaolewa yale walokuwa wakifanya wakti wa uchumba wanaweka kapuni. Watayafanya vipi na mkosi wa kutoolewa ulikwishatoweka.

hamkosi visingizio hahaha haya tutajirekebisha kama tutaweza kuziba ufa
 
Kiongozi ndo katika kufikiria kuwa akishaingia kwen ndoa kuna miujiza itatokea! kizazi hiki kuna miujiza tena? hata kakobe kashindwa na watu wa mataifa kina tanesco!
Acha tu kiongozi shida inakua hapo!! mambo ya kujifariji hayo!
 
Mwenye macho haambiwi tazama kiongozi.

Nadhani ujumbe umewafikia inavyotakiwa. Ngoja nicheki na meneja, jana nilitaabika sana, grants zilikatika katikati ya safari.

Binamu mbona ulithema uko kwenye kwarezima ?????
 
Kaizer hahahah kwani wewe ndo umelitunuku nanihiii hehehehehe nicheke mie
haya nambie yuko wapi ?? lile umbo sijaliona leo jamani ...

lol mbona yupo ametulia tu pembeni hajaamka bado.....😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…