Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mimi leo binamu sina hangover. Kazi yangu leo ni kuwamwagia maukweli tu.Binamu mbona unaharibu unamsema fulani hivi hivi....
Narudia tena: Hawa wanaume wanaojifanya BWANA ASIFIWE kwa sana waogope kama ukoma! Wanapenda ngono kuliko jogoo.
FL1 nimesemaje? au nirudie tena?