ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

Binamu mbona unaharibu unamsema fulani hivi hivi....
Mimi leo binamu sina hangover. Kazi yangu leo ni kuwamwagia maukweli tu.

Narudia tena: Hawa wanaume wanaojifanya BWANA ASIFIWE kwa sana waogope kama ukoma! Wanapenda ngono kuliko jogoo.

FL1 nimesemaje? au nirudie tena?
 
Natamani wawe wamekuelewa kiongozi:

Sasa waweza kumruhusu mtumishi wako aende kwa amani?
 
Nathani excuse zilikuwa nyingi kijana akakosa kitu alichokifuata ili akipate. Make kuna jamani kuna semina ya mwakasege, wiki ijayo kuna semina kanisani, mara kuna nyingine AGAPE Mission, mara nyingine iko kwa Gamanywa, labda kijana amejikuta mpweke. Hili pia lipo nami linakaribia kunimaliza.
 
Mimi leo binamu sina hangover. Kazi yangu leo ni kuwamwagia maukweli tu.

Narudia tena: Hawa wanaume wanaojifanya BWANA ASIFIWE kwa sana waogope kama ukoma! Wanapenda ngono kuliko jogoo.

FL1 nimesemaje? au nirudie tena?

Ni ukweli usiopingika na mie nakazia hapo Binamu ubishi hakuna mifano hai ipo ila si wote binamu
 
Kwa nini uwe mpweke nyange wapo kina Charity wapendwa katika bwana watakupa mwongozo ili uishi maisha ya furaha.
 
Ni ukweli usiopingika na mie nakazia hapo Binamu ubishi hakuna mifano hai ipo ila si wote binamu
Thats it!

Kwahiyo si wanywaji wote wanamegana na wahudumu, si ndio?
Siyo wanywaji wote wanauana kwa ajili ya penzi la baamedi, sawa?
Siyo wote, siyo wote, siyo wote............ Then ngoma droo!

Wote watoto wa baba mmoja, ufalme wa mbingu nafasi sawa kwa wote. Watu wote na waseme: AMINA!
 
Pearl mbona upo lakini umekuwa mpole yep yamekusibu pacha wa BHT
 
Ogopa sana mwanaume anayekaa baa mwenyewe.
Au nimekosea wazee wa zero pub?
 
teh teh! Shemeji bana.
kwani neno 'walevi' ni tusi? mbona ni kiswahili sanifu.

Mlevi ni mtu anaye/aliye kunywa pombe akalewa shemeji....sasa ulishamwona mpwa/binamu aliyelewa? ndo tumwite mlevi?
 
Mimi leo binamu sina hangover. Kazi yangu leo ni kuwamwagia maukweli tu.

Narudia tena: Hawa wanaume wanaojifanya BWANA ASIFIWE kwa sana waogope kama ukoma! Wanapenda ngono kuliko jogoo.

FL1 nimesemaje? au nirudie tena?
Inawezekana ni kweli kwa sababu sio wote wasemao bwana bwana wataurithi ufalme wa Mungu.Na hata hivyo kriso mwenyewe alisema mtawatambua kwa matunda yao.
Lakini jambo la maana ni kuwa mtu asikatishwea tamaa ya kuingia kwa Bwana kwa ajili ya watu wachache ambao ni mbwa mwitu katikati ya kondoo.Na mimi nina uhakika "Bwana asfiwe wengi wanaishi maisha masafi isipokuwa wachache ambao hao huwa hawakosekani.
Na wewe Chris.watch your words.usije ukawa ni ajenti unayepingana na kriso bila ya wewe kujua.Usiwatishie "watoto wadogo" wakaogopa kuingia ufalme wa Mungu.
 
Ni kweli Binamu na si kama samaki mmoja akioza ni wote ..
Amina mpendwa lakini ni ngumu tajiri kuingia ufalme wa bingu ingawa ni rahisi sana kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano.
 
Mlevi ni mtu anaye/aliye kunywa pombe akalewa shemeji....sasa ulishamwona mpwa/binamu aliyelewa? ndo tumwite mlevi?
shem bana,unauliza makofi polisi?
Mchumba wangu Xpin ni mlevi,na bila hangover hajisikii vema.kama anabisha aseme hapa.
niendelee wengine?.........
 
this is my brother now!!!!

hakuna ruhusa ku-generalize kabisaaaaaaaaa!!

Pearl mbona upo lakini umekuwa mpole yep yamekusibu pacha wa BHT

anaviporo kibao vya thread
mpe muda kidogo twin atakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…