Kabinti ka ludilo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 409
- 468
Kwa hilo hakuna haja ya busara acha wapigwe tu, waliwahi kumpiga JK mawe.Busara Inahitajika Kuamua Hili Jambo
Wanaenda Zambia...Pameshageuka Syria mara moja hii
Wakimbizi wamehamia mkoa gani?
Si mpiga kura, bali anae hesabu kura ndie huamua mshindi. Kama sivyo, ccm kutawala Zanzibar ingekuwa ndoto.Hakikisheni 2020 na uchaguzi wa mitaa ccm haipati kura hata moja.Hiyo ndiyi dawa ya watawala wa ccm