Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Mlitaka kuua Kwanini? Mchuma janga...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaenda Zambia...
UKOSEFU WA BUSARA, WANGEPELEKA INTELEJENSIA IWAKAMATE WAHALIFU TU...SIO KIJJI KIZIMA.Operations zisizo na hekima,unaanzisha operations kijijini kizima kwani wote wanaweza kuwa wahalifu?,wanazuia shughuli za watu za kimaendeleo bure kabisa,ingefaa watumie silence investigation kwanza / kubaini wahalifu.
#AKILI BONFU BONFU.
"Ukiambiwa achana na jambo hilo wewe ukaendelea kukaidi, utapigwa tu" by KPPindaMpigwe tu
Msafara wa JK mliwahi kuupiga mawe, leo mnampiga DC.
Serikali ikiendelea kuwalea mtaota mapembe
Kwenye sheria zetu kuzomea ni kosa??Halafu hawa si ndio walimzomea Rais wakati wa kampeni 2015? Yani kuna watu wanajitafutia matatizo kwa lazima
Hamuwezi kumvunjia Heshima DC, M/ Kiti wa committee ya Ulinzi na usalama, Mteule wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Af Mkabaki salama
Busara hutumika kwa mwenye busara. Upumbavu kwa mpumba. Busara kwa mpumbavu atakuona unajipendekeza tu. Hatothamini busara ambayo pia ni gharama.Busara ingetumika zaidi.
Mpigwe tu
Msafara wa JK mliwahi kuupiga mawe, leo mnampiga DC.
Serikali ikiendelea kuwalea mtaota mapembe
Hawezi kuponda msafara wa rais hii ni kuonyesha raia wamechoshwa na serikali dhalimu ya mauaji chini ya JPMna CCMKwa hiyo tukiiondoa CCM itakuwa ruhusa kuponda musafara ya Marais Kama JK au kuponda magari ya ma DC?
Hakikisheni 2020 na uchaguzi wa mitaa ccm haipati kura hata moja.Hiyo ndiyi dawa ya watawala wa ccm
HujamwelewaKweli wewe BONGOLALA,uchaguzi serikali za mitaa ni 2020?
Mwizi haendi kuiba mtaa ambao hana mwenyeji. Hao wachezee kichapo tu wote ili siku nyingine wakitaka kufanya ujinga mwengine wakumbuke kilichowatokea last summerKwani Ni laza wawe wenyeji wa eneo Hilo ndo walilofanya tukio Hilo?
Je Kama Kuna watu walitoka eneo jingine na kuja GHAFLA kwenye Kijiji hicho na kufanya UHALIFU huo Kisha kukimbia?
Angewasaka waliohusika na kuwapeleka MAHAKAMANI.
Polis mjihadhari utampiga mtu Ila MAHAKAMANI utakuwa peke yako hautakuwa na mkuu wa MKOA Wala Bosi wako. REJEA KESI YA MAUAJI ALIYOFANYA CHRISTOPHER BAGENI KAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA PEKE YAKE