Tetesi: : Oparasheni Mpunguti yatangazwa Kyela ,sasa ni kichapo kisicho na kikomo

Tetesi: : Oparasheni Mpunguti yatangazwa Kyela ,sasa ni kichapo kisicho na kikomo

Operations zisizo na hekima,unaanzisha operations kijijini kizima kwani wote wanaweza kuwa wahalifu?,wanazuia shughuli za watu za kimaendeleo bure kabisa,ingefaa watumie silence investigation kwanza / kubaini wahalifu.
#AKILI BONFU BONFU.
Inaripotiwa kuwa Ni kipigo mpaka pale atakapokamatwa mpopoa mawe
 
Wakulu! Heshima kwenu
Kyela tetesi nilizo nazo Ni barua rasmi kutangaza oparation mpunguti. Barua itakayomfikia mkurugenzi huyo inataka halmashauri kugaramia Askari kwa chakula na malazi mpaka mwisho wa oparation.
Jana oparation hiyo ilitanua mipaka yake ambapo wakazi wa Kijiji Cha ipinda nusu maili kutoka mpunguti walilazimika kufunga nyumba zao baada ya ya Askari kuvamia mitaa yao.
Nimepenyezewa hapa mpaka busokelo amani hakuna kutokana na doria ya Jana mitaa ya huko.
Nilifika Kijiji cha mpunguti huko watoto wanalia wazazi wao hawaonekani Hali Ni tete kyela.
Naripoti kutoka makambako Niko na ma weos Hawa wanaenda ikulu.......View attachment 1194817View attachment 1194817
Bongo kuna muvi nying sana. Kifupi huwa nawashangaa wanaoangalia muvi za nje ya nchi.
 
Ndo busara ya mkuu wa mkoa hiyo,wananchi wapigwe,
wasiohusika na waliohusika.
Rpc mbeya nawewe umekubali askari wako wakapige wananchi.
Haya,tutasikia yatakayojiri
 
Sheria ya kupigwa imetoka wapi?.., washikwe upepelezi ufanyike wenye makosa wafunguliwe kesi husika kutokana na sheria
 
Kwanini hawajatumia njia zingine.. hawafikirii wanachopandikiza kwa ambao hawakuhusika kabisa?

Kuna njia za kufanya haya.. ila kuanzia lile tamko ni shida..

Kuna njia mbili tatu zingetumika na kiongozi.. na wahalifu wangepatikana na hata uongozi kufurahiwa.
 
Back
Top Bottom