Tetesi: : Oparasheni Mpunguti yatangazwa Kyela ,sasa ni kichapo kisicho na kikomo

Operations zisizo na hekima,unaanzisha operations kijijini kizima kwani wote wanaweza kuwa wahalifu?,wanazuia shughuli za watu za kimaendeleo bure kabisa,ingefaa watumie silence investigation kwanza / kubaini wahalifu.
#AKILI BONFU BONFU.
Inaripotiwa kuwa Ni kipigo mpaka pale atakapokamatwa mpopoa mawe
 
Bongo kuna muvi nying sana. Kifupi huwa nawashangaa wanaoangalia muvi za nje ya nchi.
 
Ndo busara ya mkuu wa mkoa hiyo,wananchi wapigwe,
wasiohusika na waliohusika.
Rpc mbeya nawewe umekubali askari wako wakapige wananchi.
Haya,tutasikia yatakayojiri
 
Sheria ya kupigwa imetoka wapi?.., washikwe upepelezi ufanyike wenye makosa wafunguliwe kesi husika kutokana na sheria
 
Kwanini hawajatumia njia zingine.. hawafikirii wanachopandikiza kwa ambao hawakuhusika kabisa?

Kuna njia za kufanya haya.. ila kuanzia lile tamko ni shida..

Kuna njia mbili tatu zingetumika na kiongozi.. na wahalifu wangepatikana na hata uongozi kufurahiwa.
 
Mpuguti maana yake nini!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…