Oparesheni 255 yatikisa Nchi, Magazeti yaanza kuishambulia CHADEMA ili kuokoa CCM

ikiwa vyama upinzani vitaunganisha nguvu kwa dhati CCM yaweza kua nyepesi, vinginevyo eti haka kachama kamoja tu ndio kaisumbue CCM hiyo ni kama porojo na majigambo kwenye mchezo bao na draft

..chama kinachofanya siasa sasa hivi ni CHADEMA peke yao.

..wao ndio wako huko chini wakizungumza na wananchi.

..CCM ni kama imejikatia tamaa, na kubakia kupiga propaganda dhidi ya harakati wanazofanya Chadema.
 
Usiache kutuchangisha Tajiri Erythrocyte pindi mnapokwama, hata Nyerere alisaidiwa na watu Baki wasio Wana CCM.
 
Mungu ibariki CHADEMA[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ya jana huko mpanda inatis
sha sana
 
Tunarudia tena kwa mara nyingine kuonya kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KWENYE DUNIA HII AMBAKO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiache kutuchangisha Tajiri Erythrocyte pindi mnapokwama, hata Nyerere alisaidiwa na watu Baki wasio Wana CCM.
Majukwaa yote yanayotumika hujengwa na wenyeji wetu kila tunapopita , Chopa au V8 haina uwezo wa kubeba Jukwaa lolote , tutaendelea kutumia majukwaa yanajengwa na wadau hadi utakapopatikana Ukombozi Kamili , kwanza ni heshima kwao pia kwa sisi kutumia vya kwao

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Mwenzenu analamba asali nyie mmekua kama misukule, Mbowe akiwaambia fungeni bila kula mwaka lazima mtatekeleza na tutawafukua.
Wakichumia nchi hawa wataongoza kihuni, humo wamejaa wahuni, wabugia unga na watukanaji. Wao hoja inajibiwa kwa matusi bila kujali mama zao nao wapo jamii forums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…