Oparesheni ||| vipi haiji?

Oparesheni ||| vipi haiji?

jovas jonathan

Senior Member
Joined
Apr 7, 2019
Posts
193
Reaction score
275
Hamjamboni wakuu, hasa hasa waajemi wa buza
Ka utani kangu ni haka:Oparesheni ||| lini jamani pamepoa sana aunilipigwa kwenye mshono mnauguza vidonda kwanza
Cheza na mtoa roho netanyahu, Amsheni dude
 
Israel ilishambulia Iran na kutoleta madhara makubwa kwa makusudi ili kusudi kuepuka Iran kufanya mashambulizi, mashariki ya kati Iran ni threat kubwa kwa Israel anaweza kushambulia eneo lolote na wakati wowote nchini Israel.

Kea kifupi Israel ilifanya mashambulizi ya uoga.
 
Duh, sio kawaida ya muajemi, hadi kibaraka wake kaangushwa na hajasaidia hadi yule baba paroko sasa hivi bibi anapiga tu
 
Kwa hiyo wanacheza kombolela
 
Mmeshuhudia Israel mara ngapi ikituma majasusi wakiingia Iran na kuua wanasayansi, viongozi, high ranking officer jeshini, ni mara nyingi... Na Iran hakuchukua hatua yeyote.

Na wengi mkahisi Iran anaiogopa Israel mpaka pale mlipo shuhudia missiles zikitua Israel.

Ukweli kivita Israel haiwezi kupambana na Iran, kwa vyovyote Israel itaumia tu....

Hivyo mwisho wa siku hata Israel na Iran wanafahamu gharama ya vita ni kubwa, ushinde vita ama ushindwe lazima uta anguka kiuchumi, kupoteza nguvu kazi , uharibifu wa miundombinu, Hata ukimaliza vita itakichukua miaka mingi kurudi ulipokuwa. Vita ni gharama tena si kidogo, ndio maana Israel kahakikisha anaepuka vita na Iran , lakini ni wazi Israel haiwezi kuishinda Iran kivita.

Hata NK na nuclear zake hawezi pambana na US , hata atumie nuclear missiles mwisho wa siku watapigwa tu...

Nadhani umeelewa.
 
Kwa hiyo wanacheza kombolela
Walikuwa wanaepuka aibu, ndio maana hizo ndege zao wanasema zaidi ya mia moja hazikushambulia mahali kama ikulu, bungeni au kuua raia mamia, Israel iliepuka vita hivyo.

Na ukweli ni kwamba Israel angejichanganya kufanya ujinga anaofanya Gaza, na yeye angepigwa hivyo hivyo...
 
Mmeshuhudia Israel mara ngapi ikituma majasusi wakiingia Iran na kuua wanasayansi, viongozi, high ranking officer jeshini, ni mara nyingi... Na Iran hakuchukua hatua yeyote.

Na wengi mkahisi Iran anaiogopa Israel mpaka pale mlipo shuhudia missiles zikitua Israel.

Ukweli kivita Israel haiwezi kupambana na Iran, kwa vyovyote Israel itaumia tu....

Hivyo mwisho wa siku hata Israel na Iran wanafahamu gharama ya vita ni kubwa, ushinde vita ama ushindwe lazima uta anguka kiuchumi, kupoteza nguvu kazi , uharibifu wa miundombinu, Hata ukimaliza vita itakichukua miaka mingi kurudi ulipokuwa. Vita ni gharama tena si kidogo, ndio maana Israel kahakikisha anaepuka vita na Iran , lakini ni wazi Israel haiwezi kuishinda Iran kivita.

Hata NK na nuclear zake hawezi pambana na US , hata atumie nuclear missiles mwisho wa siku watapigwa tu...

Nadhani umeelewa.
Israel haiwezi kushambulia watu waajemi waba historia ndefu nao tena nzuri,
 
Palestina na iran ni vitu viwili tofauti, ni sawa na ugomvi wa mipaka na jirani yako kwa Palestina
Iran ni ubabe tuh
Ya Palestina ni ugomvi wa kufa kupona huku wa irani wanaviziana polepole
 
Hamjamboni wakuu, hasa hasa waajemi wa buza
Ka utani kangu ni haka:Oparesheni ||| lini jamani pamepoa sana aunilipigwa kwenye mshono mnauguza vidonda kwanza
Cheza na mtoa roho netanyahu, Amsheni dude
Mmeshuhudia Israel mara ngapi ikituma majasusi wakiingia Iran na kuua wanasayansi, viongozi, high ranking officer jeshini, ni mara nyingi... Na Iran hakuchukua hatua yeyote.

Na wengi mkahisi Iran anaiogopa Israel mpaka pale mlipo shuhudia missiles zikitua Israel.

Ukweli kivita Israel haiwezi kupambana na Iran, kwa vyovyote Israel itaumia tu....

Hivyo mwisho wa siku hata Israel na Iran wanafahamu gharama ya vita ni kubwa, ushinde vita ama ushindwe lazima uta anguka kiuchumi, kupoteza nguvu kazi , uharibifu wa miundombinu, Hata ukimaliza vita itakichukua miaka mingi kurudi ulipokuwa. Vita ni gharama tena si kidogo, ndio maana Israel kahakikisha anaepuka vita na Iran , lakini ni wazi Israel haiwezi kuishinda Iran kivita.

Hata NK na nuclear zake hawezi pambana na US , hata atumie nuclear missiles mwisho wa siku watapigwa tu...

Nadhani umeelewa.
Nyie subirini tu, Iran ndo huyo anaenda kutunguliwa kabla Trump hajaingia madarakani. Kwa Israel alipiga na kuparalyse air defense ya iran, akapiga research center for nukes na sasa amesambaratisha air defense ya syria hivyo njia nyeupe kwenda kupiga vinu vya nukes vya iran
 
Huwa kila siku nawakumbusha humu, kupiga kinu cha nuclear Iran inabidi utumie bomber kama B2 ikapige na bunker buster, bunker buster ndio kombora limetengenezwa maalumu kupiga mahandaki ya kijeshi, sasa Iran sio tu wana mahandaki ya vinu vya nuclear, hayo mahandaki yapo chini kabisa ya mlima , huwezi kupiga kinu cha nuclear kipo chini ya mlima kwa kutumia kombora uchwara zinazobebwa na F35, na ili kusudi B2 ipige hilo eneo inabidi iende usawa wa hiko kinu, kitu ambacho hio B2 itapigwa tu... kingine bunker buster ya kupiga ku penetrate mlima, imalize iingie kusambaratisha concrete iliyo juu ya kinu cha nuclear si mchezo, hio bunker buster haipo.

Someni vitu mfuatilie, Iran ina vinu sehemu nyingi tofauti.
msidanganyane kwenye gahawa eti wamepiga kituo cha utafiti, vituo vya utafiti vipo chini ya ardhi, vimezungukwa na kila aina ya defenses systems pamoja na AAA, ndio maana myahudi kila mara anaua wanasayansi kwa kudhani ata stop projects zao.

Trump kwa Kiduku tu aliufyata alijitia kichaa, sasa atakuja kuanza kupambana kivita na Iran?, kule Iraq walipiga bases kipindi ni rais wa US, akatia mkwara atalipiza hadi kesho hakuwahi.

Iran ina uwezo wa kupiga bases za US zote hapo Middle East.
 
Du! Basi Irani ni hatari sana. Siku nyingine thibitisha kabisa maelezo yako.
 
Iran si Syria, mwaka 2007 Israel ilishambulia kinu cha nuclear pale Syria, kile kinu kilikuwa kimejengwa kama nyumba na kwenye satellite kinaonekana, hata Iraq nimesahau mwaka Israel ilipiga kinu cha nuclear, kwa hilo Iran ikatumia kama fundisho ndio maana kunzia hapo nuclear facilities zao ni chini ya milima mikubwa, viwanda vya makombora na drones ni chini ya milima.

Na huko chini wana missiles mamilioni zikisubiri kutalii anga lote la middle east, Iran ni nchi inaogopwa vibaya na Israel, Israel...

Ogopa mtu anatua missiles zinasafiri thousands of kms na kupiga target pale pale huku makombora yanakwepa air defenses.

Ina maana hadi hapo Israel ipo uchi hakuna cha iron dome wala manati itazuia kupiga Israel.
 
Wanashambulia Palestine ambao ni kama wapo nchi moja itakuwa Iran.
Hapana; umechanganya madawa. Palestina (kama nchi)haishambuliwi ila magaidi wenye jina HAMAS ndio wanashambuliwa na wanatakiwa wateketezwe kabisa. Ni kwa bahati mbaya sana kwamba hao magaidi wapo nchini Palestina.
Israel hawezi na hana nia ya kuishambulia Iran na alishatamka wazi kwamba hana sababu ya kuwashambulia raia wa Iran ila "wakandamizaji" wa hao raia.https://www.jamiiforums.com/threads...i-uhuru-wenu-upo-karibu.2287509/post-52238050

Msikilize Neta hapa 👇
 
Hapana; umechanganya madawa. Palestina (kama nchi)haishambuliwi ila magaidi wenye jina HAMAS ndio wanashambuliwa na wanatakiwa wateketezwe kabisa. Ni kwa bahati mbaya sana kwamba hao magaidi wapo nchini Palestina.
Israel hawezi na hana nia ya kuishambulia Iran na alishatamka wazi kwamba hana sababu ya kuwashambulia raia wa Iran ila "wakandamizaji" wa hao raia.Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

Msikilize Neta hapa 👇
Hana uwezo mkuu, Iran pia wana uwezo tena mkubwa kupiga mahala popote Iran....
 
Huwa kila siku nawakumbusha humu, kupiga kinu cha nuclear Iran inabidi utumie bomber kama B2 ikapige na bunker buster, bunker buster ndio kombora limetengenezwa maalumu kupiga mahandaki ya kijeshi, sasa Iran sio tu wana mahandaki ya vinu vya nuclear, hayo mahandaki yapo chini kabisa ya mlima , huwezi kupiga kinu cha nuclear kipo chini ya mlima kwa kutumia kombora uchwara zinazobebwa na F35, na ili kusudi B2 ipige hilo eneo inabidi iende usawa wa hiko kinu, kitu ambacho hio B2 itapigwa tu... kingine bunker buster ya kupiga ku penetrate mlima, imalize iingie kusambaratisha concrete iliyo juu ya kinu cha nuclear si mchezo, hio bunker buster haipo.

Someni vitu mfuatilie, Iran ina vinu sehemu nyingi tofauti.
msidanganyane kwenye gahawa eti wamepiga kituo cha utafiti, vituo vya utafiti vipo chini ya ardhi, vimezungukwa na kila aina ya defenses systems pamoja na AAA, ndio maana myahudi kila mara anaua wanasayansi kwa kudhani ata stop projects zao.

Trump kwa Kiduku tu aliufyata alijitia kichaa, sasa atakuja kuanza kupambana kivita na Iran?, kule Iraq walipiga bases kipindi ni rais wa US, akatia mkwara atalipiza hadi kesho hakuwahi.

Iran ina uwezo wa kupiga bases za US zote hapo Middle East.
Iran yupo mbele huko na aliliona mda sana ndo maana akaanza kuweka hiyo miundo mbinu amna kitu cha maana kilichoko kweye uso wa ardhi hii inatokana tishio la usa miaka hiyo 2000 kwa hiyo Iran 🇮🇷 walilichukulia hilo swala kuwa ni serous threat ndo akajihami
 
Iran si Syria, mwaka 2007 Israel ilishambulia kinu cha nuclear pale Syria, kile kinu kilikuwa kimejengwa kama nyumba na kwenye satellite kinaonekana, hata Iraq nimesahau mwaka Israel ilipiga kinu cha nuclear, kwa hilo Iran ikatumia kama fundisho ndio maana kunzia hapo nuclear facilities zao ni chini ya milima mikubwa, viwanda vya makombora na drones ni chini ya milima.

Na huko chini wana missiles mamilioni zikisubiri kutalii anga lote la middle east, Iran ni nchi inaogopwa vibaya na Israel, Israel...

Ogopa mtu anatua missiles zinasafiri thousands of kms na kupiga target pale pale huku makombora yanakwepa air defenses.

Ina maana hadi hapo Israel ipo uchi hakuna cha iron dome wala manati itazuia kupiga Israel.
Hii paragraph ya mwisho ndo kiliwaogopdsha west ule uwezo hata nchi za ulaya hawana ..mtu anarusha makombora kila 2000km na bado unapigwa na kwa kwa uchambuzi wa wadau Iran inaweza kurusha mabomu 2000 kwa mkupuo mmoja ni nchi gan inauwezo huo hebu niambie na tuwe wa kweli
 
Iran yupo mbele huko na aliliona mda sana ndo maana akaanza kuweka hiyo miundo mbinu amna kitu cha maana kilichoko kweye uso wa ardhi hii inatokana tishio la usa miaka hiyo 2000 kwa hiyo Iran 🇮🇷 walilichukulia hilo swala kuwa ni serous threat ndo akajihami
Sahihi jamaa waliakwenda mbele ya muda hio ni moja, cha pili kutengeneza kikundi kama Hezbollah cha kumnyong'onyeza Israel kabla hajafika Iran ..

Hizo akili tukubali ni next level...
 
Hii paragraph ya mwisho ndo kiliwaogopdsha west ule uwezo hata nchi za ulaya hawana ..mtu anarusha makombora kila 2000km na bado unapigwa na kwa kwa uchambuzi wa wadau Iran inaweza kurusha mabomu 2000 kwa mkupuo mmoja ni nchi gan inauwezo huo hebu niambie na tuwe wa kweli
Hakika dunia ilisimama, hakuna aliye amini, ndicho kitu kilifanya Israel akaishiwa nguvu ..

Precision ya zile missiles inatisha, Si US wala EU wote kimya kimya waliona Iran si nchi ya kui underrate ndio maana majasusi wao wakawaambia Israel wasithubutu kupiga sehemu za kiuchumi za Iran, maana Iran ikijibu si EU wala US watazuia mashambulizi...

Ni muda Iran iwe makini, hakuna muda EU, Israel na US wapo kwenye high alert kama sasa juu ya Iran....
 
Back
Top Bottom