Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimezipata ndugu yangu wa ukweli. Nilikuwa namuambia Bold muda sio mrefu uliopita baada ya kunipa hizi salamu zako "Mgibeon ni rafiki yangu wa ukweli since 2014.Asante Mkuu, Hii sio ya kitoto! Msalimie Sana MWENZETU
Yani umenichekesha leo mpaka basi.acha tujidanai nayo kwa sasa...wakiamka wataikuta ishafika page ya nane.
halafu "mnakasha" ukishafika page ya nane na kuendelea ni ngumu sana kupata "laiki" za kutosha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Sio vibaya na wengine wakasoma na kujua pia mkuu.Nafikiri hii habari ndiyo imeelezewa kwenye kitabu cha 90 Minutes at Entebe..
Wakati nakua kua mzee wangu alikuwa nacho ila nilishindwa kukisoma kutokana na lugha!
Yeah Netanyahu alikuwepo ila ni mkubwa (kaka yake huyu Netanyahu Waziri Mkuu wa Sasa)Yaani nimeisoma yote!!
Nlisoma mahali kwamba netanyahu pia alikua kwenye hiki kikosi!! Anyways nangoja mawazo yako!!
Mwendelezo ukija nitag mkuu!
Tena hii bado sehemu mbili ndio tuanze hizo nne zilizobaki..duuuh iyo ndio operation ya kwanza bado nne
Umewahivkabisa mpwa..Sijachelewa sana
Msonyo na kukodoa macho kodoooooo... [emoji23] [emoji23]Hahaha haki hii vita ya kuwahi siti ya mbele haijawahi kunishinda...here I am [emoji4].
Shusha nondoz kichwa,ni wewe tu ktk ulimwengu huu wa kijasusi.
{Kuna watu watanuna na kusonya huko hihihii}
Asante sana mkuu kwa maneno yako ya kutia moyo...Shukran sana mkuu The Bold
Hakika wewe ni miongoni mwa tunu chache zilizotukuka ndani ya JF na Tz kwa ujumla.
Mungu akuongeze miaka na afya tele uzidi kutupa maharifa zaidi wadogo zako, Salaam kwa mama klareee (unapenda kumuita cheupe wangu)
Nifah
Akikujulisha wewe, unijulishe na mimi. Ni mwendo wa kupasiana mpira hapaYani umenichekesha leo mpaka basi.
Mimi huwa namuambia Bold anijulishe kabisa akiweka thread,akisahau nikija kukuta pages zimeshavuta nanuje?
Hahaha